• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

cc. sky eclat

 1. S

  Tujadili njia za kumsaidia mtoto kuongeza IQ yake katika ukuaji

  Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia moja na nyingine au jamii moja na nyingine. Hoja yangu ni kuhusu kuongeza IQ, Creativity and...
 2. D

  Mwanamke anayenyonyesha anaweza kutumia dawa hii?

  Emerginor Levonorgestrel Hii dawa kwa ajili ya kuzuia mimba kwakuwa mtoto bado ananyonya na ana miezi 4 sasa ili kuepuka mimba maana mke wangu hapendi matumizi ya kondomu hasa siku za hatari
 3. Bilionea kid

  Happy born day to me

  Jamani wanajamii wenzangu Leo ni Siku yangu ya kuzaliwa happy birthday to me Karibuni keki πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž Povu sitaki
Top