cc. barafu


  1. bush crazy

    Tairi za ndege huzungushwa na nini?

    Nimekuwa nikijiuliza hivi zile tairi za ndege ili zizunguke wakati ndege ikiwa chini, nguvu ya kuzizungusha hutoka kwenye injini au injini huwa inapush bodi lote la ndege ndipo na tairi hulazimika kuzunguka? naamini hili jukwaa lina wajuzi wengi!!! karibuni