briz

  1. Bailly5

    Makapuku Forum

    Habari wana JF Habari Makapuku wenzangu Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu. Makapuku natumaini nyote...