bidhaa bandia

  1. giftcharles

    Simu feki: Mambo yanayowezekana hauyajui

    Simu feki zinapingwa duniani kote Kila mtu anafahamu kwamba mwezi wa 6 mwaka huu, wametangaza kuzizima simu zote feki Tanzania, imeleta utata sana ukizingatia kwamba asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wakizitegemea simu feki. Kwa zaidi ya miaka kumi dunia ilizikubali hizi simu ziwe kwenye...