#biashara


 1. ONTARIO

  Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

  Salute bosses Utangulizi Wengi mmesikia sikia sana kuhusu Forex trading, mmepata kujua taarifa kadhaa kuhusu hii biashara lakini mmeshindwa kufahamu nini kinaendelea. This is the perfect thread, tutaelewa kila kitu hapa na hakuna atakayebaki na swali kichwani - we have to leave this thing...
 2. T

  Naona itakuwa ngumu kununua gari la ndoto yangu, Land Cruiser Prado! Je TZS 47 Million itatosha kununua gari la aina gani kama hilo?

  Habari wakuu, Nimejikusanya muda sasa kuweza kumiliki gari la ndoto zangu. Tatizo ni budget yangu kwani nimefuatilia kuhusu my dream car naona mfuko haujajaa linapokuja suala la TRA. Je, waweza nishauri gari gani linaloweza kuwa; - Economy, - Confortable, - Attractive, - Unique, - Stand out on...
 3. neophyte

  INAUZWA unataka kuwa na ngozi nyororo yenye mvuto na yenye unyevu?

  imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa na haya husababishwa na mazingira. tsh9000tu. kama vile kutokwa na chunusi kutokwa na utangotango kuwashwa...
 4. Ally ucher

  Udogo ni kipimo cha mafanikio???

  Mimi ni kijana wa miaka 16 ndo nimemaliza elimu ya kidato cha nne ndio nasubiri matokeo hapo mwezi January,lakini wakati nasubiri matokeo nilwapa wazo wenzangu la kufungua Eatery,sasa shda inakuja ni jinsi gani haswa tutafanya promotion on our eatery and products cause ndo tunataka tuanze tu,na...
 5. Mtanganyika

  Business ideas (Bure)

  Wakuu nimekuwa nikifuatilia JF kwa muda mrefu sana, tangu enzi hizo inaitwa JamboForums mpaka JamiiForums. Nimeona watu wengi walivyo na muamko wa biashara ili kuongeza kipato sababu mishara ya kazini haitoshi. Lakini kikubwa nimeona watu wanavyoumiza kichwa kujua nini wafanye, wengi wamekuwa...
Top