behaviorist

  1. gwijimimi

    TCRA inafanya kazi gani hasa? Voda, Tigo na bando zetu

    Nilikuwa najiunga vifurushi vya internet kwa miezi mitatu ili kuondoa usumbufu na nina imani wengi wetu walikua wanafanya hivyo pia, but jambo lililonisikitisha ni juzi baada ya kutaka kujiunga tena bei nilizozikuta nahisi ni pasua kichwa kwa wengi wetu na nashangaa TCRA kukaa kimya kazi...