• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

beforward

  1. M

    Tahadhari Ununuzi wa Spare BEFORWARD!!

    Kwa wale mnaotarajia kununua spare Kupitia Beforward Japan mnatakiwa kujua kuwa sasa wamebadili utaratibu kutoka ule wa kupokea spare ikishafika. Sasa Spare ikifika unaifanyia clearance kama vile ukinununua gari. Utaratibu huu mpya ni usumbufu mkubwa kwa wanunuzi kwani fixed costs mbali na kodi...
Top