baba afrika

 1. B

  Swali kwa wanandoa tu!

  Imagine umetokea mwisho wa dunia hii tunayoishi sasa! Wote tumeondoka na kujikuta tumezaliwa upya katika dunia mpya ambayo hatua za kukua ni kama ilivyokuwa kwenye dunia ya awali (mtoto, kijana, mtu mzima, uzee). Sasa umekuwa kijana kwenye dunia mpya (ikiwa umerejeshewa kumbukumbu za maisha...
 2. MziziMkavu

  ukuta vipi jamani umebomoka?

 3. MziziMkavu

  Mzazi adai kuzuiwa kutoka wodini baada ya kujifungua watoto watatu

  Kwa ufupi Madai hayo yamekuja licha ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kutoa agizo la kutowatoza fedha wajawazito. By Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imedaiwa kumzuia kutoka wodini Lucy Samson (25) aliyejifungua kwa upasuaji...
 4. MziziMkavu

  Leo ni siku ya kimataifa ya Albino

  Leo ni siku ya kimataifa ya Albino Kenya leo inaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya Albino. Baraza la kitaifa la watu wanaoishi na ulemavu Kenya limeitaka jamii hiyo kupewa nafasi na kama watu wengine katika fursa za ajira,masomo na mahusiano katika jamii. Maudhui ya mwaka...
 5. MziziMkavu

  Ndege inayotumia nguvu za jua yazinduliwa

  Ndege inayotumia nguvu ya jua (Solar Impulse 2) kabla ya kuanza kuruka Ndege inayotumia nguvu za jua yazinduliwa HISTORIA ya urushaji wa ndege inayotumia nguvu ya jua kwa kuzunguka Dunia imeandikwa.Anaandika Benedict Kimbache kwa msaada wa mashirika ya Habari. Ndege hii iliyopewa jina Solar...
 6. Bennie 369

  Jifunze siri ya kutenda miujiza (Mfano kutembea juu ya maji, kupaa angani n. k)

  Kuna shuhuda za watu walioonekana au kusikika wamefanya vitu ambavyo huonekana ni miujiza machoni mwa watu wengi... mfano kutembea juu ya maji,kupaa angani n. k. ambavyo tunaweza kusema ni vitu vinavyopingana na gravitation force lakini Kuna watu wameweza kuvifanya mfano Jesus christ, chriss...