azamtv na channel za ndani

  1. Kennethmhaiki

    Azamtv pekee ndio wapo juu ya sheria

    Serikali na sheria pia zinasema channel za ndani ikiwepo azam one,azam two,azamsport hd na zingine zioneshwe bure ila mpaka sasa mwaka unaisha hawafuati sheria za nchi.. Je hii inamaana azamtv wapo juu ya sheria? Wafuate sheria zetu zilizotungwa na bunge tukufu..
Top Bottom