anga za juu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China chaleta mbegu za mpunga zilizopatikana katika obiti kwa mara ya kwanza duniani

    Kundi la tatu la sampuli za majaribio ya sayansi ya anga za juu, ambalo lilirudishwa na chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China, lilirejeshwa Beijing alfajiri ya tarehe 5. Sampuli zilizorejeshwa ni pamoja na vifurushi vitatu vya baridi vya sampuli za kibaiolojia na mfuko mmoja wa...
  2. L

    Wanaanga watatu wa Shenzhou 15 waingia kwenye kituo cha anga za juu cha China na kukutana na wanaanga watatu waliopo huko

    Habari kutoka Ofisi ya Uhandisi wa Anga ya Juu ya China zinasema baada ya chombo cha anga za juu na kituo cha anga ya juu kufanikiwa kuunganishwa haraka, wanaanga wa Shenzhou 15 wameingia kwenye moduli ya obiti kutoka kwenye moduli ya kurudi ya chombo hicho. Baada ya kukamilisha maandalizi yote...
  3. L

    Kazi ya kurudisha chombo cha anga za juu cha Tianzhou - 4 yakamilika

    Chombo cha kupeleka mizigo katika anga za juu cha China cha Tianzhou - 4 kimerejea angani. Vipande vingi vya chombo hicho viliteketea wakati wa mchakato huo, huku vipande vichache vikianguka kwenye eneo la kusini la bahari ya Pasifiki kama ilivyopangwa.
  4. L

    Ushirikiano wa anga za juu kati ya China na Afrika watarajiwa kukua kwa kasi

    Moduli ya majaribio ya Mengtian ya Kituo cha Anga za Juu cha China Tiangong hivi karibuni ilirushwa angani na kuunganishwa kwa mafanikio na moduli kuu ya Tianhe. Kwa hatua hiyo, ujenzi wa Kituo cha Tiangong kilichoundwa na moduli za Tianhe, Mengtian na Wentian umekamilika, na ukurasa mpya wa...
  5. MSAGA SUMU

    Wanaanga wapigwa marufuku kupiga punyeto anga za juu

    Wanaanga wa anga za juu wamepigwa marufuku kupiga punyeto wakiwepo anga za juu. Hii inatokana na uwezekano wa wao kuwapa mimba viumbe wengine wa anga za juu na hivyo kuzaa viumbe hybrid ya binadamu na 👽 alien.
  6. L

    China yarusha chombo cha anga za juu kumalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China

    China jana imerusha chombo cha anga za juu cha Shenzhou-14 kilichobeba wanaanga watatu watakaomalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China katika jukumu litakalochukua miezi sita. Wanaanga hao watashirikiana na timu iliyoko duniani kumaliza kuunga na ujenzi wa kituo cha anga za juu cha...
  7. L

    Watu wa kawaida pia wanaweza kuweka historia, hata kusafiri anga za juu

    Aprili 16, wanaanga watatu wa China waliokwenda anga ya juu kwa Chombo cha Shenzhou No. 13 walirejea nyumbani salama wakiwa na hali nzuri kiafya. Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, wanaanga hawa waliweka historia mbalimbali mpya katika sekta ya safari za anga ya juu ya China. Wanaanga hawa...
  8. L

    Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani: Kuchunguza ulimwengu ni ndoto ya wanadamu wote

    Leo Aprili 12 ni Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani au kwa jina lingine ni Siku ya Kimataifa ya Binadamu Kwenda Angani. Kutoka "mazungumzo kati ya mbingu na dunia" na wanaanga wanaotekeleza majukumu kwenye anga za juu, kujibu barua za wanasayansi wazee walioshiriki katika operesheni ya...
  9. L

    China na Afrika kushirikiana zaidi katika anga za juu

    Wikiendi hii iliyopita, chombo cha kubeba binadamu cha anga za juu cha Shenzhou-13 kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga wengine watatu katika Kituo cha Anga za Juu cha China. China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na maendeleo yake kwenye sekta ya safari ya anga za juu ni hamasa kubwa kwa...
Back
Top Bottom