all members who knows


  1. Frustration

    Ukichaa ni nafsi au akili?

    Katika pitapita zangu nmekuja jua kuwa katika mtu kuna mambo makuu matatu, yaani nafsi, akili na mwili. Nafsi ndio mtu mwenye kwa maana yu hai hata ukitoka mwili(kufa). Leo nataka mwenye kujua anijuze; Ni ipi nafasi ya nafsi kwa kichaa katika maisha yake, baada ya akili kwenda mrama. Ni kweli...
Top