ajali huduma za dharura

  1. Y

    Huduma za dharura mtu apatapo ajali mtaani

    Katika hali ya kawaida ya binadamu muda wowote mtu waweza pata ajali au kupatwa na ugonjwa wa ghafla ukiwa mwenyewe mtaani au barabarani Je kwa nchi kama yetu ambapo hakuna kitengo vya dharura ambavyo vinawafuata wagonjwa sehem walipo nini kwa kawaida kinafanyika? Je ni sawa kuendelea...