adhana na ikama

  1. N

    Dini chanzo chake ni Mwenyezi Mungu

    Dini iwe ni kutoka kwa Mungu, yaani kutoka kwa Allah Ta’ala na hiyo iwe imekuja kupitia kwa Malaika miongoni mwa Malaika kwa Mtume ili nae afikishe kwa waja wa Allah; kwa sababu dini ya haki ni dini ya Allah aliyeumba Ulimwengu huu, na Allah Ta’ala ndiye ambaye analipa na kuwahesabu viumbe Siku...
Top