Search results

  1. kagarukiG

    Kwa mtindo huu elimu ya Tanzania itakosa thamani

    Kuku huona pale anapolia tuu..
  2. kagarukiG

    Naombeni msaada wa mawazo

    Mathematics ni Art jamani
  3. kagarukiG

    Kwa mtindo huu elimu ya Tanzania itakosa thamani

    Dah! Palm ja na yote mnayojiuliza ila mimi new mejiuliza sana juu ya hili na jibu sina. Mwaka huu wenye div 1 na 2 wamekosa vyuo sehemu mbali mbali sababu kubwa ni ushindani. Sijaelewa hasa kinachrahisisha elimu ya Tanzania hadi viwango vikubwa kama hivyo kukosa nafasi. Elimu yetu inashuka kama...
  4. kagarukiG

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Always small mind discusses people.
  5. kagarukiG

    Bodi ya mikopo huu ni wizi au utapeli?

    Mtoa mada uko sawa kabisa. Kuna jambo wamrfanya bila kufikiri kwa kina. Kumbyima mtu mkopo kwa kigezo eti kamaliza form six 2009 si jambo jema hata kidogo. Wanachukulia kwamba mtu huyu atakuwa alishaajiriwa lakini kwa upande wangu wanakosea. Wengine hawana uwezo hata kidogo wa kuchangia ada...
  6. kagarukiG

    Msaada kuhusu mkopo

    Mwaka jana niliomba chuo na nikapata. Pia niliomba mkopo ila sikupata hata asilimia 0. Kutokana na kutopata mkopo nilishindwa hata kwenda kiripoti chuoni badala yake ilinibidi kujipanga mwaka huu niende kwa kujilopia. Habari ambazo ninazipata ni kwamba mwaka jana data zinasoma kuwa nilipata...
  7. kagarukiG

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Nahisi labda alisoma kwa system ya Cambridge
  8. kagarukiG

    Kwa waliokosa mkopo

    Thanks for the courage
  9. kagarukiG

    Faida za kupitia JKT kwa wahitimu

    Nitakujibu vizuri endapo utanipa faida tano za kujuwa kutumia silaha zote hizo ulizotaja kwa mwalimu au mwanafunzi wa chuo kikuu. Hii hela iliyotumika kuwapeleka wanafunzi hawa huko je huoni kama ingeweza kurumika katika kuleta faida kubwa zaifi ya hiyo? Hebu tuangalie tena je! Kupelekwa huko...
  10. kagarukiG

    Faida za kupitia JKT kwa wahitimu

    Naona ilikuea njia moja ya kuwapa wajeshi fursa ya kutembea na dada zenu tuu. Maana ilifika hatua dada zenu kufanyiwa hadi vyooni. Au hamkujua hili??? Ukaka mavu hata nyumbani unaweza kuupata ukitaka. Unaweza ukawa umerudi mlokole jina tuu.
  11. kagarukiG

    Faida za kupitia JKT kwa wahitimu

    Umeweza kuona faida sawa kabisa jamaa yangu. Ila je umeweza kufikiri hasara??? Nahisi ni nyingi zaidi....
  12. kagarukiG

    Mtu wa kunibeba Mabibo Hostel

    Anaetaka kukubeba atakupata vipi?? Toa address pls
  13. kagarukiG

    Nakemea vikali hoja ya kuwa walimu wa msingi kuwa walifeli kidato cha nne

    Kama huna uhakika wa unachokisema ni bora ukae kimya tuu. Mna mawazo potofu sana na kama mnaendelea hivyo itakuwa shida sana.
  14. kagarukiG

    First years wa mwaka huu tuwaitaje?

    Brn sawa kabisa
  15. kagarukiG

    Msaada kwa waliochaguliwa UDSM

    Nashukuru sana kwa ufafanunuzi mziri kaka. Mimi tayari nimechukuwa ila kwenye hii letter sijaelewa ni wapi nawza pata namba yangu kwani baada ua kuchukuwa nilienda kupiga picha tuu kwa ajili ya kitambulisho. Je hii namba ipo? Na kama ipo ndio ipi kaka?
  16. kagarukiG

    Watumishi wa umma wachangishwa ujenzi wa maabara

    Wanataka kutupanda vichwani sasa. Nadhani wamechoka na sisi hawa washenzi kabisaaaa. Ki ukweli nikikatwa hiyo hela nitakuwa wa kwanza kuchukuliwa hatua kwa kugoma kufanya kazi na nitaacha kabisa fani.
  17. kagarukiG

    Idadi ya fimbo anazotakiwa kuchapwa mwanafunzi

    Mimi ni mwalimu kwa takriban miaka mitatu sasa. Na nina uzoefu mkubwa sana na wanafunzi na tabia zao kwa kwa mfululizo miaka miwili nimekuwa mwadili wa wanafunzi. Kesi nyingi wazazi huwa hawatoi msaada na mara nyingi hujikuta wakiwatetea watoto wao suala ambalo huwa sababu kubwa ya migogoro...
Back
Top Bottom