Search results

  1. N

    Vigogo Somba SC Washikiliwa Polisi

    Duh aisee hela ya okwi waliifanyia sherehe mamaaa weeeee
  2. N

    Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani

    Soma kwanza vzuri amesema alidhani atapewa uwaziri mkuu baadae akashauriwa aache kugombea ubunge
  3. N

    Mahojiano Azam Two TV: Funguka na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson

    Bunge live ni tulia anahusika au umemezeshwa matango pori!duh hivi ukiwa upinzani unajitoa akili hvi kawa wale waasisi wenu
  4. N

    Ni aibu kubwa Taifa letu kujifunza Teknolojia kutoka Rwanda

    Hawa hawa tukiwachagua maprofesa na madr wanasema hao ndio chanzo cha nchi kuwa nyuma kimaendeleo kumbe huwa wanacheza ngoma wasioijua mdundo wake haaa haaa kweli ustaajabu ya lissu utayaona ya mtatiro
  5. N

    Ni aibu kubwa Taifa letu kujifunza Teknolojia kutoka Rwanda

    Nyie hao hao mnasema wasomi wa taifa hili ndio wanaturudisha nyuma sasa tuelewe kipi?
  6. N

    Lowassa apigiwa saluti Kenya

    So wats big deal?hv nyie vijana wa ufipa mna nn kwny bongo!sitoshangaa siku mtaweka picha lowasa akiveshwa viatu na mama regina mkasema anaheshimiwa na akina mama wa tz khaaa aisee
  7. N

    Msaada wa jinsi ya kutuma barua ya kazi kwa njia ya barua pepe (e-mail)

    Mbona me naandika pale kwny email composer then nina attach na cv nawadondoshea na nimeitwa kwny intrvw kwa style hyo!
  8. N

    Maswali ya written interview kwa nafasi ya bank teller NMB bank

    Dah hizi bank ni shida tupu kuna mtu anakuja chumba cha interview anaulizia kama ndugu yake amefika tayar kufanya interview unaweza kupatwa na hasira ukaondoka yaani dah acha tu mambo mangine unaangalia tu afu unajiuliza kwanini walikuita kama watu wameshawachagua!
  9. N

    FNB/Mwalimu Commercial Bank kunani

    Ukiona manyoya jua kaliwa!
  10. N

    Maswali ya written interview kwa nafasi ya bank teller NMB bank

    Leo umekuwa mpoleeee!!haa haa nyodo zote kwisha kabisa!
  11. N

    Kipindi cha mada moto leo: Msigwa na Polepole wajadili Mada ya msaada wa MCC

    Msigwa anafaa kuwa bondia!!hana hata hekima wala uvumilivu
  12. N

    Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Ameshikwa nyeti kazi kudai mshahara wa rais sasa kwny hili hachomoki!!
  13. N

    Kipindi cha mada moto leo: Msigwa na Polepole wajadili Mada ya msaada wa MCC

    Sasa hapo ni mjenga hoja na muhemukaji!mwisho wa siku itakuwa personal attack!naomba polisi wawepo kulinda usalama maana kuna mmoja hakawii kurusha ngumi akishindwa kujenga hoja
  14. N

    Halima Mdee amtaka Rais Magufuli ataje posho na marupurupu anayolipwa

    Haa haa dah mshahara wa rais umekuwa agenda je hzo posho za wabunge 364 sio ishu kwa maskini mbona hampigi kelele kupunguza hzo posho!
  15. N

    Dr. Charles Mulokozi atiwa mbaroni kwa kutoa Vibali vya kusafirisha Tumbili 62 kwenda Albania

    kumbuka sheria inasema anaruhusiwa kutoa kibali endapo atawasiliana na mamlaka ya juu ya wizara.kibali kinatolewa endapo kuna wingi wa wanyama hao na wanasumbua kwny mbuga!sasa je ayo yote amepitia mpaka kutoa kibali?
  16. N

    Nafasi ya kazi secretary (1) na afisa uhusiano microfinance (3)

    Hii itakuwa sacoss ya kutembeza vitu!
  17. N

    NEC imeteua Wabunge 3 Viti maalum, CCM 2 na CHADEMA 1

    Mtoto wa aliyekuwa mmiliki wa chama sasa hivi c ameuziwa mwingine!
  18. N

    Kwa hili TEMESA wamenishangaza sana

    Hapo lazima kutakuwa kuna utapeli unataka kufanyika!huyo jamaa asikubali awaburuze hata mahakaman
  19. N

    Nafasi za kazi FNB Bank

    Email yao magumash
  20. N

    Rafu za CCM zawaliza CUF

    Kwani ile iccj iliishia wap?kama hamtaki kushiriki uchaguzi kaeni pembeni msilete fyoko fyoko!!
Back
Top Bottom