Search results

  1. Bluray

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Mtoe Jiwe uondokane na manunuzi ya kichwakichwa yasiyofuata bajeti wala open tender process. Mtoe Jiwe uondokane na ujinga wa kununua ndege ambazo huna hata watu wa kuziendesha na kuzikarafati inavyohitajika kimataifa. Kama hujamtoa Jiwe, madudu aliyofanya aliyoyafunika ukija kuyajua...
  2. Bluray

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Ndege inaanza safari za kimataifa lini? Kama hujui sema hujui, subiri si jibu.
  3. Bluray

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Kwa hiyo unaandika kwa confidence kuhusu vitu ambavyo huna uhakika navyo na huwezi kuvikanusha?
  4. Bluray

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Swali langu hujajibu. Lini? Kama anachosema Tundu Lissu ninkweli, jibublako linaweza kuwa spin tu. Unajua unachoandika au una speculate tu? Umenunua ndege hata marubani wa kuendesha huna? Lissu anasema ma engineers wamefeli huko. Ni kweli? Kama kweli.Wakiendelea kufeli itakuwaje?
  5. Bluray

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Safari za nje zinaanza lini? Wait and see hata Yesu watu wanamsubiri arudi miaka 2000 sasa hajarudi.
  6. Bluray

    Serikali yazitaka TRA na TPA kubaini chanzo cha kupungua kwa shehena za kontena bandarini

    Kwa hiyo Magufuli alipotoa jibu rahisi kwamba this is seasonal alikuwa anatuzuga?
  7. Bluray

    Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Wanasema go big or go home, no half stepping. Kama Magufuli angetaka kueleza, angeeleza yote muhimu. Kama hakutaka kueleza, angetengua tu bila kutoa sababu. Rais halazimiki kutoa sababu. Lakini akishaanza kutoa sababu, ni lazima ziwe za kueleweka. Tayari kuna watu washaanza kusema rais kamtoa...
  8. Bluray

    Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Rais dikteta kakutana na mtaalamu mroho. Patamu hapo.
  9. Bluray

    Wanaompinga Rais kutumbua majibu hamna uzalendo

    Hakuna maendeleo bila kukosoana. Tutazunguka katika makosa yaleyale kwa kuogopa kuonekana si wazalendo? Rais ni mtu tu. Wasaidizi wake pia ni watu. There is such a thing as "the wisdom of crowds" ndiyo maana Waswahili wakasema "penye wengi haliharibiki jambo". Ndiyo maana Wagiriki wakaweka...
  10. Bluray

    Wanaompinga Rais kutumbua majibu hamna uzalendo

    Hapana. Hahitaji kuisafisha serikali yake kwa namna yoyote ile. Anahitaji kuisafisha serikali yake kwa namna sahihi inayofuata sheria na maadili. Tatizo unamuwekea standards ndogo sana wakati yeye ni mtu mwenye kazi kubwa sana. Tukisema uonewe kwa kupigwa risasi kwa kosa ambalo hujafanya kwa...
  11. Bluray

    Wanaompinga Rais kutumbua majibu hamna uzalendo

    Kwa sababu haheshimu utawala wa sheria. Neither the letter nor the spirit. Anapenda udikteta. Ndiyo maana kaapisha wabunge uwaziri kabla hawajaapishwa ubunge, kaliamuru bunge lipeleke fedha za tafrija yake kwenye matumizi ya hospitali against the pronciple of separation of powers, kaingikia...
  12. Bluray

    Wanaompinga Rais kutumbua majibu hamna uzalendo

    Katika ufunguzi wa daraja la Nyerere Magufuli amemtoa kazini Kabwe na kusema watu wa aina hii hawana nafasi katika serikali yake. Rais anaposema watu wa aina hii hawana nafasi katika serikali yake, baada ya ripoti ya dakika mbili tu ambayo haijampa mtuhumiwa nafasi ya kujitetea, hajahukumu?
  13. Bluray

    Wanaompinga Rais kutumbua majibu hamna uzalendo

    Bila due process tutajuaje huyu ni mwizi kweli na huyu kasingiziwa? Ukikataa due process utakubali kubambikiwa kesi na kuhukumiwa bila nafasi ya kujitetea?
  14. Bluray

    Wanaompinga Rais kutumbua majibu hamna uzalendo

    Rais, kwa nia nzuri kabisa, hawezi kukosea katika huko kutumbua? Walipokosea wapi? Unaweza kutaja specifics? Uzalendo ni nini? Raia wanaotekeleza wajibu wao wa uraia wa kukosoa viongozi wanakosa uzalendo? Kwa nini isiwe kwamba raia wanaoshangikia tu bila kukosoa pale penye la kukosoa ndio...
  15. Bluray

    Mama Maria Nyerere atembelea Daraja la Nyerere, Kigamboni

    Wanajiandaa kwenda Lusaka kwenye birthday ya Kaunda. Wanavuka daraja la Nyerere, watapitia barabara ya Nyerere kwenda kupanda ndege uwanja wa ndege wa Nyerere.
  16. Bluray

    Rais anaposhindana na vyombo vya kumsaidia kutawala

    Rais ana haki ya kuteua na kutengua anayetaka kwa mujibu wa sheria na katiba. Lakini, rais akianza kusikiliza mashauri kwa upande mmoja jukwaani na kuamua hapo hapo kumuondoa mtu kwa lugha ya hukumu, tuna tatizo. Hata kama huyo anayeondolewa ni mwizi kweli. Tatizo linajitokeza sehemu mbili...
  17. Bluray

    VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Rais Magufuli kwa kupenda njia za mkato na mabavu, anakosa maarifa.
  18. Bluray

    Kama hii ni ya kweli tumekwisha

    Labda watasema Wamarekani walikuwa na teknolojia hii from the 1770s, walikuwa wanaificha tu. Inawezekana hata waliitumia katika Revolutionary War, we all enjoy a good conspiracy theory, lakini iwe na akili basi, hizi conspiracy theories nyingine hata hazina akili
  19. Bluray

    Mambo ya kulazimisha kipaji, American Idol

    THe guy was high or something, he couldn't even control his breathing patterns, let alone sing.
  20. Bluray

    Bluray yuko wapi?

    Nduguzanguni, tafaanalek kufa hakuna breki! Chafya!!! Nilikuwa Kimanzichana, Mkuranga na Salasala nafukuzia viwanja, si unajua tena ardhi haiozi na mafisadi wanataka kukata mapande yote, sasa tunabanana.Pia naonana na wazee wa busara wananipa mikanda kabla hawajaanza wanavyosema wenyewe...
Back
Top Bottom