Search results

  1. T

    msaada: makampuni ya udalali/ minada

    Naomba msaada kwa member yeyote mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu makampuni yaliyosajiliwa hapa nchini kwaajili ya shughuli ya udalali/ minada (auction). 1. Je ni wizara gani inayojihusisha na haya makampuni ya udalali (auction)? 2. Je ni wapi ninaweza kupata orodha ya makampuni...
  2. T

    Maandamano makubwa nchini Afika Kusini

    Chama cha wafanyakazi nchini Afika Kusini (COSATU) leo kimefanya maandamano makubwa kupinga ongezeko la Mafuta, Umeme na Chakula. Maandamano hayo ya kitaifa, yamefanyika katika miji yote ya nchi hiyo. Public Transport umesitishwa kwa siku yote ya leo. Sasa tunawasubiri TUCTA!
  3. T

    Hali ya Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Baadhi ya wagonjwa wakiwa wamelala chini katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wodi namba 17 Sewa Haji kunakosababishwa na upungufu wa vitanda katika hospitali hiyo. (Picha na Peter Twite, Majira) vitanda hakuna! madawa je? wauguzi je?
  4. T

    South Africa: Riots - Nigeria to Demand Compensation. [Tanzania je?]

    This Day (Lagos) 28 May 2008 Damilola Oyedele Abuja The Federal Government yesterday said it would seek appropriate compensation for properties lost by Nigerians during the xenophobic attacks on foreigners in South Africa. Minister of Foreign Affairs, Chief Ojo Maduekwe while briefing...
  5. T

    Umeme wakatisha uhondo wa Mechi ya Man, Chelsea

    Na Mwandishi Wetu Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), limesema kukatika kwa umeme katika miji ya Dar es Salaam na Zanzibar juzi usiku kumesababishwa na njia ya umeme kati ya Morogoro na Ubungo kuzidiwa na mzigo. Kufuatia katizo hilo, shirika hilo limewaomba radhi wateja wake wote wakiwemo...
  6. T

    The Best Ever!!!!!!!

    To My Dear Wife, You will surely understand that I have certain needs that you, being 54 years old, can no longer satisfy. I am very happy with you and I value you as a good wife. Therefore, after reading this letter, I hope that you will not wrongly interpret the fact that I will be...
Back
Top Bottom