mamaNa,
Kuna suala la uchavushaji wa maua (pollination), kwa wengi wetu tumeshazoea uchavushaji unafanywa na wadudu (insects kama nyuki, vipepeo, nk.). Je kwenye greenhouse suala la uchavushaji linakuwaje, maana wadudu hao hawaingii.
Lucky sabasaba, asante kwa taarifa hii. Nina swali kuhusu hivyo vifaa vya ujenzi kama tiles, marble, milango, kitchen cabinets, madirisha. Je hao wauzaji (maduka) wana online website, ili wateja wa mbali kama huku TZ waweze kuona hizo bidhaa/ vifaa. Au ni mpaka mtu atie mguu huko huko Dubai?
Naomba msaada kwa member yeyote mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu makampuni yaliyosajiliwa hapa nchini kwaajili ya shughuli ya udalali/ minada (auction).
1. Je ni wizara gani inayojihusisha na haya makampuni ya udalali (auction)?
2. Je ni wapi ninaweza kupata orodha ya makampuni...
Ndugu yangu Msambule, kuna biashara yeyote umeshawahi kuifanya tangu uzaliwe?
Hii biashara yako (ya ATCL) imejaa mapato na wala haionyeshi matumizi (Je, ni kwamba unaficha ukweli wa hasara tarajiwa?). Acha nikusaidie, kwenye usafiri wa anga, asilimia 40 (40%) ya mapato yako yote huenda kwenye...
Naomba ujumbe usomeke hivi:
"Mh. Mbunge, ukiwa kama mwakilishi wetu bungeni, tunaomba usaini fomu ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu pamoja na baraza lake la mawaziri"
Kama unafahamu jina la Mbunge na jimbo lake basi ujumbe wake uwe hivi:
"Mh. [taja jina], sisi wananchi wako wa Jimbo la...
chuki binafsi!
Kwa mtazamo wako, inamaana hata Microsoft alaaniwe kwa kuua ajira za vijana wengi ma-messenger na ma-typist! Na Yahoo/GMail walaaniwe kwa kuua ajira za vijana wetu kule Posta na Simu!
Kwa mtazamo huu, sioni wa kumgusa Lowassa (ndani ya CCM), maana kila mara wimbo ni ule ule...
Nadhani humu ndani kuna waandishi wa habari, itakuwa vizuri kama hawa wahusika waliopokea Tsh 20,000 watapigiwa simu (maana kuna namba zao), ili kuthibitisha tukio hilo. Na kama wanafahamu ni kosa kupokea fedha kwa minajili ya kumchagua ama kumfanyia mtu kampeni. Na je angeweza kumchagua ama...
Wakati wa kipindi cha kampeni, mwezi septemba 2010 akiwa maeneo ya Ngorongoro na Serengeti, Mh JK alisema hivi "Mipango ya Ujenzi wa Barabara ya lami kupitia Serengeti iko pale pale" ( refer wavuti.com)
Wakati wa kikao cha World Economic Forum, huko Davos mwezi Januari 2011, Mh JK alikutana...
Wakati unaendelea kutafakari CCM na Viongozi wake; NIPASHE waliripoti hivi
Hii ndio CCM inayoangaika kudhihirisha ulimwengu kuwa "wanapendwa" na wananchi wao!
Mh Chikawe ushahidi dhidi ya Chenge ni huu hapa, na Mwanasheria Mkuu anafahamu!!!
nimeamua ku-copy kipande kidogo kutoka katika ukurasa wa 5, lakini naomba u-download report yote hapo chini.
------------------------------------------------------------------------------------
... It is...
Politiki nakubaliana na hoja yako, ni vizuri vyama vyetu vya upinzania (zaidi CHD) kupitia kurugenzi yao ya habari kuwa na kitengo/ unit ya yanayojiri kutoka bungeni (hapa watakusanya live video za section zote za bunge pamoja na hansard), pili yanayojiri kutokana na hotuba za rais na mawaziri...
listi ya wastaafu wanaolipwa baada ya kustaafu ni wengi. Kwenye listi yako ongeza:
(1) ma-meja jenerali na ma-jenerali wote wastaafu
(2) ma-jaji wastaafu wote
Hawa hulipwa ulinzi, mishahara, watumishi wa ndani, gari, mafuta ya gari pamoja na matengenezo ya gari.
Mungu ibariki Tanzania.
Ndugu yangu Nyakarungu, kuwa makini sana na nyakati hizi, serikali yetu haiko tayari kuvuliwa nguo hadharani, kitendo ulichokifanya (kusimamia kikamilifu post mortem na kuitoa ripoti yake hadharani) na unachotarajia kukifanya (kuwa shahidi namba moja) ni cha kishujaa sana (hero), na serikali...
It's a true story!!
Na tangu JK amekuwa Rais, amekuwa akimuomba sana Mzee Sayore awe Balozi wetu nje, lakini Sayore amekuwa akimkatalia kwa kusema "siwezi kuwa nafanya kazi na kuripoti kwa watoto wasioijua nchi"!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.