Search results

  1. kandukamo1

    UFAULU ZERO DHIDI YA HOJA ZERO.

    Mtu aliyewahi pata division zero kidato cha Sita, Elimu yake ya juu ya kuunga unga hawezi kuwa na fikra za mtu wa ufaulu wa division One. Kuwapa mamlaka ya kuongoza si tafsiri tumewapa pia mamlaka ya kufikiri kwa niaba yetu. Nini tafsiri ya uhuru wa habari kama malengo yatakua mtuoneshe yale...
  2. kandukamo1

    Natamani kusikia kauli na utendaji wa Magufuli kama kweli anaamini katika haki

    Awali ya yote napenda kutoa salamu za pole kwa wafuasi na makamanda wote wa chama cha demokrasia na maendeleo mkoa wa Geita na Tanzania nzima kwa ujumla juu ya kuuliwa kinyama kwa kamanda Mawazo. Ilikuwa 2012 kwa mara ya kwanza nilipomuona na kumsikiliza kamanda Mawazo pale uwanja wa Mashujaa...
  3. kandukamo1

    Naomba msaada computer yangu imegoma kuwaka

    Salama? PC yangu ni kampuni ya lenovo ina tatizo pindi ninapoiwasha inaonesha jina na kukata display tena huwaka na kuwa zoezi endelevu pasipo ku-ran programme yoyote. Naomba msaada kama kuna mtaalam at least anisaidie kung'amua nini tatizo maana mie mgeni wa hizi mambo.
  4. kandukamo1

    Wapi Prof.J na Lady J.Dee siku ya muungano? Au hawa si legends wa bongo music?

    maadhimisho ya MUUNGANO siku ya leo ilifaa kuwa nafasi nzuri sana waanamuziki wa bongo kuonesha mshikamano. Haiingii akilini ati Prof.J na Jide wawe watu wa kukosa ktk wimbo wa pamoja uloimbwa na wanamuziki wapatao 50 leo ktk maadhimisho. Mtu anaweza kunijbu kwa hoja ya kuwa si lazima wote...
Back
Top Bottom