Search results

  1. Fatford

    Real chicks don't date Arsenal Fan

    For your information, If a girl dates a chelsea fan she's just after money.
  2. Fatford

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mnafikiri kila siku ni ijumaa. Mwakani msitgemee. Tunawagonga kwa kwenda mbele.
  3. Fatford

    Pay As You Earn (PAYE): Wafanyakazi mna maoni gani?

    Hapo mdau umeongea jambo la maana sana. Mimi nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano yaani tunavyopigwa P.A.Y.E mpaka mtu unachanganyikiwa. Unaweza ukaangalia slip yako ina basic salary nzuri tu lakini take home ya mawazo kwa kuwa ukikaktwa P.A.Y.E karibu robo ya salary inapotea...
  4. Fatford

    Kwepa kuombwa bia

    Unajua njia rahisi ya kuwakwepa waomba bia? hii hapa. caller; Mambo vipi mshakaji weekend inakuwaje. msela: Poa mi nipo mtaani nakamata Tusker tu.. caller; Sasa upo nije basi unipe bia moja mbili? msela:Nipo hapa mbagala jeshini hapa njoo basi unipe company... Akija huyo...
  5. Fatford

    Just go away Wenger, thanks for your efforts

    Mi nafikiri Wenger should stay. Because He has built a good squard ingawa ina mapungufu yake. Wasi wasi wangu unaweza ukawa policy za arsenal kwa ujumla hazipo katika kununua masuper star au wachezaji wa bei ghali kwa hiyo fungu analopewa ni dogo sana. Kwa hiyo inambana sana katika uchaguzi wa...
  6. Fatford

    Mkwawa High School mpo?

    Mwana newton katutokaje? Nani kati yenu alishapanda zile 15 steps za staff room. Bond za mkwawa bwana zilikuwa za aina yake. Nyingine za kusoma tu nyingine za mapenzi.
  7. Fatford

    Mkwawa High School mpo?

    Jamani mkwawa we acha tu umenikumbusha enzi za machua na wajane. Mi nilihamia pale form five term ya pili mwaka 2001.Si nikapangwa shebi common room. Nikawa na form six kibao akina skavenja bwana eee nilipiga sana deki ile common room. Ticha letu la bweni linaitwa Ngimba lilikuwa noko vibaya...
  8. Fatford

    Gotcha

    A wife catches her husband masturbating under the shower and approaches him. The husband:- Oh dear, it was so dirty that I had to rub it so hard... it almost hurts!
Back
Top Bottom