Wapi hiyo, kwenye huu mchezo wa kuigiza unaorushwa na tbc na stat tv. Nadhani huo unaanza saa tatu adubuhi. Bahati mbaya episode ya leo sijaiona, ningeweza kuchangia
Watanzania hatushtushwi na ongezeko la kodi. Pandisha umeme, poa tu, pandisha bei za bidhaa madukani, nauli za mabasi, ada za shule... poa tu. Njoo Tanganyika yetu tupo tayari hata kula majani kama tulivyofanya ili Nkapa apate pipa la kutalii.
Nimefuatilia mazungumzo ya hili jamvi toka matokeo yatoke nimeona inazungumziwa CDM tu. Nilidhani ni wakati mzuri kwa CCM kushangilia ushindi, na kuona namna gani Mgimwa jr ataendeleza gurudumu aliloachiwa na Mgimwa sr.
Changamoto ni nyingi jimboni, msaidieni dogo kupambana nazo. Otherwise ni...
Unapozungumzia nchi ya kidemocrasia na yenye kufuata utawala bora, kauli ile ya Kikwete haiwezi kutolewa na Rais wa nchi. Unaweza kuipata kauli hii kwa kiongozi wa chama tu kama tulivyoshuhudia kwa mwenyekiti wa CCM.
Niungane na wewe kumtetea Rais wetu, maana Rais ni taasisi. Na yeyote...
Halafu eti tukiikataa rasimu hii mpya kwenye kura ya maoni eti tutarudi kwenye katiba yetu ya sasa!!! Ambayo hata Rais anaamini(?) kuwa haifai (amenukuliwa akisema kuwa katiba hii mpya ni ya kutupeleza miaka hamsini na zaidi ijayo).
Something is wrong with us upstairs. Someone can do the math...
Nikitazama picha hizi, na hasa jinsi polisi walivyovaa inaonyesha chaguzi za Tanzania sio mahali salama. Serikali inategemea kuwa lazima vurugu zitazuka, ndio maana wanawaandaa polisi hivyo.
Mahali ambako CDM inahisiwa kushinda basi Polisi humwagwa kwa wingi ili 'kudhibiti vurugu' zinazoweza...
Hivi huu ni wakati kweli wa kupokea maoni? Tume ya warioba imefanya nini? Kama mpaka wakati huu rais amekuteua kwenda kupitia/ kujadilidi maoni ya wananchi kwa namna ya kuboresha halafu wewe unataka maoni tena kutoka kwetu..., haishangazi sana kuwa sisi tumebaki kuwa taifa la hovyo sana.
Kuna...
Maswali kama haya yanasaidia kuona jinsi gani Tanzania ilivyo na serikali legelege iliyosababishwa na raisi dhaifu kiutawala. Mbunge wa chama tawala , ambaye ni naibu katibu mkuu(?)anamuuliza waziri kuwa wizara yake ni dhaifu kiasi cha kushindwa kuchukua hatua matukio ya mauaji yenye utata (bila...
Ni utaratibu tu? wa kufanya mtihani uwanjani? You are kidding me! Shule zipi unazodhani ziko vizuri Tz?
Zunguka shule za Dar (kama uko Dar) kisha uje utuambie hali ikoje.
Kidumu chama cha mapinduzi
Lakini huyu Kikwete amekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa miaka kumi mfululizo. Aliwezaje kumudu nafasi yake hiyo kama uwezo wake wa kujieleza ni huu?
sikutegemea kitu kingine zaidi ya hiki kwa mtu anayeweza kutumia 'the F word' bungeni. Bole kwa wale ambao bado mnapay attention kwa kila anachosema bazazi huyu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.