Nina masikitiko makubwa kutokana na huduma ya chuo kikuu huria cha Tanzania kwa wanafunzi tuliopo nje ya nchi.Chuo kimeshindwa kujiwekea mipangilio mizuri hususan katika ufanyaji wa mitihani.
Wanafunzi tuliopo nje tunalipa pesa nyingi kama gharama ya usimamizi na utumaji wa mitihani hiyo ila...
Hivi kuna utata gani kuhusu mafao ya wafanyakazi wa iliyokuwa Jumuiya ya Afika Mashariki?Na je,wale wanaoambiwa mafaili yao hayaonekani nini hatima yao?
Hivi kama mtu faili lake halionekani sehemu aliyokuwa anafanyia kazi litaonekana wapi?Nyumbani kwake au kaburini kwake kwa wale waliofariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.