Search results

  1. U

    Ritta Paulsen wa Bongo Star Search

    Mamamia,hoja yako ni nzuri ila tatizo ni jinsi ulivyochanganya lugha. Nadhani ingekuwa vizuri kama tuna hoja tuziwakilishe kwa lugha yetu ya taifa (Kiswahili). Haileti maana nzuri kwa mtu mwenye lugha yako ya taifa kutumia lugha nyingine. Usipokikuza wewe kiswahili nani atafanya hivyo? Lazima...
  2. U

    Huduma mbaya za chuo kikuu huria cha tanzania

    Nina masikitiko makubwa kutokana na huduma ya chuo kikuu huria cha Tanzania kwa wanafunzi tuliopo nje ya nchi.Chuo kimeshindwa kujiwekea mipangilio mizuri hususan katika ufanyaji wa mitihani. Wanafunzi tuliopo nje tunalipa pesa nyingi kama gharama ya usimamizi na utumaji wa mitihani hiyo ila...
  3. U

    Mafao Ya Wafanyakazi Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

    Hivi kuna utata gani kuhusu mafao ya wafanyakazi wa iliyokuwa Jumuiya ya Afika Mashariki?Na je,wale wanaoambiwa mafaili yao hayaonekani nini hatima yao? Hivi kama mtu faili lake halionekani sehemu aliyokuwa anafanyia kazi litaonekana wapi?Nyumbani kwake au kaburini kwake kwa wale waliofariki...
Back
Top Bottom