Search results

  1. Autorun

    Kiashiria cha pesa kupotea: BOT yashusha zaidi deposit ratio toka 9% hadi 7% kwa mabenki kunusuru ukata mifukoni

    Hii ni athari mojawapo ya taasisi zote pamoja na idara zake za serikali kuhamishia akaunti zao kutoka benki za kibiashara kwenda benki kuu
  2. Autorun

    Msaada wa Amoeba kwa mjamzito

    Mwenye ufahamu wowote juu ya hili suala
  3. Autorun

    Diamond Jubilee ya leo imetusaidia kujua kwamba 90% ya Watumishi wa Serikalini goigoi

    Unaweza ukawa sahihi ila laiti kila mtu angelijua namna na mfumo wa halmashauri ulivyo tusinge tegemea makubwa kutoka katika taasisi hizi. Tunahitaji kuwa na hizi halmashauri lakini zinahitaka kuangaliwa muundo na mfumo wake upya.
  4. Autorun

    Je, Sangara wa ziwa Viktoria ni yule yule wa asili?

    Niliwahi sikia sangala walipandikizwa kutokea ziwa Tanganyika
  5. Autorun

    Huyu ndio "kijana" wa Dr Mwakyembe,aliyemsaidia 99% katika vita ya madawa ya kulevya

    Insights...... Tanzania ni zaidi ya niijuavyo.
  6. Autorun

    USHAURI: Mabasi yaruhusiwe kusafiri usiku

    Niwakati wa kutafiti na kulinganisha hasara na faida ya mabasi ya abiria hasa ya umbali mrefu kama Mwanza-Dar, Musoma/tarime-Dar, Sumbawanga/mpanda- Dar, Mwanza-Mbeya, Arusha- Mbeya, Kigoma- Dar, Bukoba-Dar na zingine nyingi ambazo kwa sasa nilazima kusafiri kwa siku mbili ili kuweza kufika...
  7. Autorun

    Makamu wa rais mama samia kwa busara zako umeshindwa kumshauri rais kuhusu vijana hawa ?

    Mizuka, hofu, woga ndio kipimo cha ufanisi wa kazi katika awamu hii
  8. Autorun

    Ma-house girls wawa miiba kwa ndoa Dar

    Kimsingi mke anatengeneza na kuimarisha jeshi la kujuhujumu mwenyewe kwa mtindo huu wa maisha.
  9. Autorun

    Lameck Ditto: Moyo sukuma damu

    Utunzi wa mahadhi ya hali ya juu sana...... Kazi nzuri Ditto
  10. Autorun

    Tamko kwa Wanaume wa Dar

    Nawasiwasi kama wanaume wadar wataweza kutekeleza agizo la Mh. Raisi la kufyatua halafu yeye asomeshe watoto wote.
  11. Autorun

    Tamko kwa Wanaume wa Dar

    Ujumbe umefika.... Wanaume wa dar wamelegea mno zao kahawa, kubeti na ligi za chips yai
  12. Autorun

    Hatujui Uhuru wa vyombo vya habari utaruhusiwa lini

    Neno la msingi sana hili........ Only six thinking hats model can describe.
  13. Autorun

    MSAADA: Tecno Boom J8 imegoma kuwaka baada ya kupakua Ota udate

    Toa sim card zote na memory card then bonyeza power botton na volume up botton kwa pamoja.... Then gv feed back
  14. Autorun

    Hivi kweli wanaume tumekosa confidence kiasi hiki, kwamba bila gari huwezi kung'oa vimwana wakali?

    Labda kwa nyie wanaume wa DAR..... Ndo hadi mikoko ndio mng'oe vimwana. Huku bara bado mteremko tu.....
  15. Autorun

    Spika Ndugai Msaidie Rais Magufuli kwa kuzuia walevi wasiingie Bungeni

    Nadhani tatizo la ulevi wa bangi kwa wabunge wakiwa katika kazi zao za kibunge ni kubwa kuliko ulevi wa pombe.
Back
Top Bottom