Search results

  1. Bebrn

    Matosa na shida zake upimaji wa viwanja

    Habari wana jamvi Natumaini wote ni wazima wa afya njema, ningependa kutafuta msaada kwa mtu mwenye kufahamu zaidi juu ya upimaji wa viwanja maana huku matosa tunakilio chetu miaka mingi sana na hakuna mwenye jibu juu ya ela zetu tulizokwisha changa kwaajili ya kupimiwa viwanja lakini...
  2. Bebrn

    Nini Majukumu ya Mbunge kwa wapiga kura wake?

    Habari wana jamvi, leo nimejikuta nashindwa kuchangia mada iliyokuwa inaendelea wakati nipo kwenye gari mbovu zinazotoka Matosa hadi Kimara terminal mada kubwa ilikuwa ni Mbunge wetu Mh Mnyika anafanya nn kama wananchi wake wanapata shida kiasi hiki maana magari yanayoenda huko ni mabovu na ni...
  3. Bebrn

    Mtazamo tu juu ya siasa na urais ndani ya CCM

    MAONI YANGU JUU YA WAGOMBEA WA URAISI KUPITIA CCM Katika hatua tuliofikia kama Taifa inatupasa tuweke kando uvyama ili tupate kiongozi ambaye anaweza kuja kufanya malekebisho tunayoyatarajia, tumefikia hatua ambayo tunaitaji mtu ambaye atakuwa tayari kuwamwagia viroboto mafuta ya taa na kuwasha...
  4. Bebrn

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Salamu wa ndugu, leo ningependa kusema kitu ambacho watu wengi wanaweza kusema nimetumwa lakini ra hasha haya ninayoongea ni kutokana na ukweli wa maeneo ya kanda ya kaskazini, watu wengi mwaka huu wamepata mwamko mkubwa wa kisiasa na agenda kuu mwaka huu wengi wanazungumzia kuhusu mgombea wa...
  5. Bebrn

    Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    huyo mtu ndio jembe lao CCM sasa unategemea wanaweza kumfanya nn? hakuna kitu kinachoweza kufanyika hapo dhidi ya kumlinda kwa dola zote
  6. Bebrn

    Kufuru ya TPDC: Maoni ya baraza la ushauri la watumiaji wa huduma zinazodhibitiwa na EWURA

    Ndugu wana jamii kwa ishu ya mishahara sio mikubwa kama mlivyoelewa, hiyo iliyotolewa ni pajeti ya mwaka kwahiyo gawanya kwa kumi na mbili ndio utapata mshahara kwa mwezi
  7. Bebrn

    Watanzania ni lazima tukubali matokeo: Tutake tusitake, utawala wa sheria lazima uheshimiwe

    Ni bora ungekaa kimya kuliko kupoteza muda wako kwa kuandika kitu usichokijua
  8. Bebrn

    CHADEMA yajiandaa kupoteza mtaa wa Gezaulole jimbo la Mbowe

    upeo wako nina wasiwasi nao maana ukweli kwako ndio majungu
  9. Bebrn

    CHADEMA yajiandaa kupoteza mtaa wa Gezaulole jimbo la Mbowe

    Kwa uwelewa huu uliouonyesha gari utakuwa unalisikia tu linapita njiani labda tafuta baiskeli
  10. Bebrn

    CHADEMA yajiandaa kupoteza mtaa wa Gezaulole jimbo la Mbowe

    Ni kweli kabisa jamaa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
  11. Bebrn

    CHADEMA yajiandaa kupoteza mtaa wa Gezaulole jimbo la Mbowe

    Katika hali isiyo ya kawaida CHADEMA imeshindwa kufuatilia wenyeviti wake wa maeneo ambayo yalikuwa chini ya CHADEMA mfano Mtaa wa Gezaulole ambao ni mmoja wa mitaa ya jimboni kwa Mbowe. Mwenyekiti wa mtaa huu ni mwenyekiti aliyeonesha udhaifu mkubwa wa kiutendaji kwa kushindwa hata kusimamia...
  12. Bebrn

    Inauma ila ndio ukweli, tuangalie siasa yetu na uhusiano wa nchi za nje

    This is a speech made by Israel Prime Minister benjamin Netanyahu to his cabinet about 2 days ago. It was reprinted by Affan Sosibo for the African National Congress Youth League on the 8th July 2014. I quote? ? We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the blacks and...
  13. Bebrn

    Natafuta dawa petnesol,ear,eye,drop

    Habari za muda huu washika dau, ninashida na dawa petnesol,ear,eye,drop ambayo nimejaribu kuitafuta bila mafanikio, yeyote anayejua wapi naweza kuipata naomba msaada.
  14. Bebrn

    Tcu na vyeti vya vyuo vya russia

    Jamani naombeni mnisaidie maana nina mwezi wa tatu sasa nafuatilia translation ya cheti change tcu bila mafanikio na bila taarifa inayoeleweka, naombeni mwongozo ni wapi naweza kusaidia badala ya tcu, au ni nani au wizara gani ambayo inaweza kunipa mwongozo, namna hii wanakatisha sana tamaa !!!
  15. Bebrn

    msaada wa haraka jamani,nakufa

    Pole ndugu, mm nilishapata kitu kama iko nilipo hama toka kuja moshi, dawa ni kunywa maji ya moto na vaa koti muda wote hiyo mara nyingi huwa ni baridi ambayo imeingia kwenye mifupa, ni mbaya ukizidi kujiachia waziwazi mwili wako, vaa koti ata ukiwa umelaa! Sent from my BlackBerry 9790 using...
  16. Bebrn

    Hivi udom ni chuo au high level school

    Nasikitika sana hapa ninapo andika hiki ninachokiandika, kuna baadhi ya wanafunzi wa chuo cha udom tangu wafungue chuo hadi leo zikiwa zimebakia siku chache wamalize semester bado hawajawekiwa mkopo hata mara moja, kutokana na hilo nikasema ngoja nikaongee na loan officer wa hapo chuoni kwao na...
  17. Bebrn

    Elimu yetu: Kuuza miili UDOM ni matokeo...

    loan board wanaususika kwa asilimia 100, kuna watu hadi leo hawajawekewa hata sh sasa unategemea nn wakati na yeye anataka kuendelea kusoma
  18. Bebrn

    Tpdc- ndo shortlist iyo au ndo .....

    ukubali ukatea ila watu wameshafanyiwa interview na kunauwezekano wakawa wameshaitwa maana tangu interview ifanyike kalibia mwezi unaisha sasa
  19. Bebrn

    Tpdc- ndo shortlist iyo au ndo .....

    mkuu walishafanya interview na tangu interview hadi leo watakuwa wameshaanza kazi watu
Back
Top Bottom