Search results

  1. Maskni Wa Akili

    Wife Anazingua

    Habari MMU. Jumanne jioni tulipata mgeni nyumbani kwetu (Housegirl). J5 asubihi nkamuacha wife na hsg home nkaenda kazini. Kabla ya kumleta yeye ndiyo alikuwa anamtaka na kusistiza ni muhimu atusaidie shughuli za hapa Home anachoka sana. Alionyeshwa picha tuliyotumiwa kwa email na kumhoji...
  2. Maskni Wa Akili

    Mimi Nikifurahia Msosi wa Christmass kabla ya Kushughulikia

    Mimi Nikifurahia Msosi wa Christmass kabla ya Kushughulikia. Cheki meno YOte nje...................
  3. Maskni Wa Akili

    Kwa Wanaume Tu

    Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza? 1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza? 2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa? 3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au...
  4. Maskni Wa Akili

    Dunia Imeniangukia Nishaurini Vyema nimeumiaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! !!

    Mwenzenu Nimeoa nina Mke ila hatujabahatika kupata mtoto hata mmoja. Ndoa yetu ilikuwa nzuri sana hadi niliporudi Jana jioni. Kawaida Ijumaa nawahi kurudi. Nimefika nikamkuta wife kaandaa Menu kama kawaida, Nkaoga kwanza na kuamua nifaidi haki yangu kwanza alafu ndo nipige msosi niangalie TV...
  5. Maskni Wa Akili

    Unamshauri vipi mpenzi wako aache kufanya usichokipenda?

    Habari zenu JF. Mi member wa longTime lakini huwa sipost mara kwa mara. Demu wangu anataka kunipanda kichwani. Kuna kazi aliiona aka apply sasa kaitwa kwenye interview na huenda akaanza October tarehe 1. Kazi yenyewe nimeiweka link hapo chini. Embu nishaurini ndugu zangu si kazi mbaya nimuache...
  6. Maskni Wa Akili

    UK Calling Cards

    Jamani nikiwa UK nataka kujua Card gani ya kupiga Bongo nzuri kuliko zote? Ipi inakupa minutes nyingi na haiibi kwa sana. Talk home used to be good ila sasa wameniboa. Nipeni mawazo yenu mlioko UK.
  7. Maskni Wa Akili

    Maximo ajiuzulu kufundisha Stars

    Maximo ajiuzulu kufundisha Stars 2008-04-01 09:27:45 By Mwandishi Wetu Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbrazil Marcio Maximo amejiuzulu kufundisha timu hiyo. Watu walio karibu na Maximo waliitonya Nipashe jana kuwa kocha huyo amefikia uamuzi huo...
  8. Maskni Wa Akili

    Another Government Owned Company, Making Very Strange Deals

    A strange real estate deal, indeed THISDAY REPORTER Dar es Salaam A NEWLY constructed residential block built in Dar es Salaam by the Tanzania Building Agency (TBA), with six apartments and a current leasing market price estimated at $2,000 (approx. 2.3m/-) per month minimum, has...
  9. Maskni Wa Akili

    Tallest Building in Tanzania (To be built)

    New skyscraper project in offing for Dar es Salaam, but: Red Cross opts for cloud of secrecy -Identity of investor-partner to remain confidential DAMAS MWITA Dar es Salaam THE Tanzania Red Cross Society has opted to remain silent as to the identity of the private investor with whom it has...
Back
Top Bottom