Search results

  1. M

    Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Tanzania huru ni ya Watanzania huru.
  2. M

    Makonda kuizika CHADEMA Iringa leo, watu ni wengi mno

    Mbona sioni hicho kitu kinachowafanya watu walale uwanjani? Wamesahau alipokuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam alipomwambia mzee wa watu aliyekuwa akieleza (nadhani) shida za walimu "wewe mzee kaa chini...nakwambia kaa chini"? Tangu hapo...!
  3. M

    Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

    Takukuru, polisi na mahakama hawawezi kumwita na kumhoji? Na yeye ajue sheria inasemaje.
  4. M

    Makonda ameibua mengi Shinyanga, wananchi wengi wamedhulumiwa haki zao

    Mhu! Chama chake ndicho kinachoongoza serikali. Thuluma hizo zinatoka kwa nani? Nani ameshindwa kuondoa hiyo dhuluma? Ni Chadema au vyama vingine vya upinzani? Ni kama kujitekenya, halafu unacheka mwenyewe.
  5. M

    ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Uchapazi kazi uko katika kufanya juu-chini nchi iwe na mfumo bora wa huduma za jamii na uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi wao. Matamko ya A kuelezea jinsi alivyopokonywa ardhi na B au C alivyotapeliwa na D siyo suluhisho la matatizo ya Watanzania. Ni watu wangapi wana matatizo na hawawezi...
  6. M

    Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Tunasubiri kwa hamu taarifa za kuchukuliwa hatua. Watu kama hao hawafai kuwa katika hii kazi inayohitaji nidhamu ya hali ya juu na kuwa mfano kwa raia. Shame upon him!
  7. M

    CHADEMA wadai hawatajibizana kwa namna yoyote ile na Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM

    Mimi nadhani kufanya maridhiano na chama tawala "ni kujidanganya kabisa". Maridhiano huwa ni katika mambo ambayo yametokea na yakaathiri/jeruhi jamii kama ilivyotokea kwa Afrika Kusini au Rwanda. Lakini katika ushindani wa kisiasa hakuna cha maridhiano, ni kupoteza muda. Uza sera zako na waachie...
  8. M

    Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

    Nani kakwambia "haki hupewa"? Haki ni "inalienable" unakuwa nayo hata kabla ya kuzaliwa. Ni jukumu lako kuidai kila mara unapoona inakandamizwa au unanyang'anywa/porwa. Kuna legal maxim inayosema: "He who sleeps over his rights loses them". Maana yake ikiwa kwamba "usipodai haki zako" (pale...
  9. M

    Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

    Ina maana alikuwa "hajajitambua". Unaweza ukamuonya mtu asikuelewe. Baadaye akatafakari akaelewa. Kuna stages za kukubali jambo. Mara ya kwanza huwa kwa kawaida ni denial. Understanding inakuja baadaye na hapo ndipo mtu huanza kujirudi. Si unaona hata Nyerere? Kwani katika utawala wake uliwahi...
  10. M

    Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

    Sasa kama ametambua hilo na kusahihisha, shida iko wapi? Admitting weaknesses/failures is a positive attribute.
  11. M

    Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Si ni maoni yangu? Utawezaje kuniambia/amria cha kuchangia? Acha mambo yako ya kidikteta hayo.
  12. M

    Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Nadhani wao hawakulenga kuwa na idadi kubwa zaidi ya wabunge, bali kutoa fursa sawa kwa wabunge wanaume na wanawake na huenda mantiki yao ni kwamba kura ziamue nani atakuwa mshindi na ikitokea (kama kuna huo muujiza) wakashinda wote wawili, sawa. Pendekezo hili halina maana kwamba majimbo ya...
  13. M

    Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    1. First of this is not the Declaration which is being discussed. 2. Second the problem is not about the blessing of people/couples because I understand that if the blessing of people/couples was a problem, priests and pastors wouldn't be going to offer services to prisons where there are...
  14. M

    Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    Ni kweli. Ila wanawapotosha watu wengi (innocent). Jana nilikuwa naongea na wife (naye alikuwa ameshapotoshwa) hadi nilipompa dondoo za waraka husika ndipo akaona tofauti. Lakini akaniambia hata rafiki yake mmoja (mke wa jirani yetu) naye ni Mkatoliki baada ya kusikia huu uwongo wa wazushi na...
  15. M

    Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    Msingi wa 'argument' ni Papa kusema "barikini ndoa za mashoga" ambayo nimeuliza imeandikwa katika paragraph gani kati ya 1 na 45 ya Declaration au maaskofu wa Afrika kufafanua kuhusu Declaration na upotoshaji unaoendelea na kisha kusisitiza kwamba Kanisa Katoliki wala wao wenyewe hawawezi na...
  16. M

    Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    Na wewe huelewi ninachokisema: 1. Mara tu baada ya waraka (Declaration) kutoka, 2. BBC wakaripoti kwamba Papa amebariki Kanisa Katoliki kubariki ndoa za mashoga. 3. Lakini kwenye Declaration hakuna kitu kama hicho. 4. Mfano, Paragraph 4 ya Declaration inasema hivi: Pope Francis’ recent response...
  17. M

    Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    Kwani hata hao maaskofu walisema kipi ambacho kilikuwa kimeandikwa kwenye Declaration? Hata walichosema maaskofu si BBC ndio waliosema maaskofu wampinga Papa? Au kama una waraka wa maaskofu wowote ambao wamepinga waraka uweke hapa tuone kama walichokisema ni kile kilichoandikwa kwenye...
  18. M

    Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    Hata mimi naona BBC na ushoga damudamu na kwa sasa wamegeuka kuwa wasemaji wa Kanisa Katoliki hata kuliko sources of information of Kanisa Katoliki kama vile Vatican News, CNA (Catholic News Agency) au EWTN. Na hasa wanaweka mlengo wao mbele zaidi kuliko ukweli wa habari husika. Mfano...
Back
Top Bottom