Search results

  1. Binti wa Kinyak

    Tumsaidie huyu mwenzetu - Wadosi wamemtenda

    Mjumbe hauwawi ! Dear Satcom, Five months ago, I had a problem with the Company (SATCOM) as you could not be able to pay me when I was on my leave, and as a result I could not be able to attend/resume my job due to financial crisis I had. In spite of tried several times to talk to you as to...
  2. Binti wa Kinyak

    Can Men and Women Be Friends?

    Yes wanaweza kuwa marafiki wa kawaida tu. kwa mfano mimi rafiki zangu wengi ni wavulana na nipo happy nao sana kwani hawana majungu zaidi ya kunishauri vitu vya maana.
  3. Binti wa Kinyak

    Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

    Mimi kwa upande wangu sijahawi kucheat hata siku moja. Naitwa Tusajigwe Anyemike. bahati mbaya sina simu ningetoa namba yangu.
  4. Binti wa Kinyak

    Big Scandals By Mr R. J. Sabodo

    Sabodo ni Mzalendo sana.Namuunga mkono asilimia mia.
  5. Binti wa Kinyak

    Hapo kuna Mapenzi kweli?

    sasa wewe unaomba ushauri wa nini wakati umesema hauko nae tena. ( Nimewahi kuwa [/[B]B]na rafiki yangu wa kike) sidhani kama ushauri utakao pewa hapa utautumia.
  6. Binti wa Kinyak

    Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

    Revived Interest in Appearance: If your partner suddenly undergoes a makeover of sorts, in which he spends much more time on his appearance, it could mean that he is trying to impress someone new. If he all of the sudden ditches his old khakis and sweats for something more stylish, it might be...
  7. Binti wa Kinyak

    Natafuta Rafiki

    Unatafuta rafiki au Marafiki? maana sentesi yako inamaanisha utafuta rafiki mmoja tu.
  8. Binti wa Kinyak

    Makato ya PPF kwa Wafanyakazi.

    Wadosi kwa undanganyifu ndo wenyewe. na kwakutoka kitu kidogo tu wanaongoza. ukute tayari wana mtu wao huko PPF ambaye wanamtumia kufanya udanganyifu huo.
  9. Binti wa Kinyak

    Askofu Malasusa-tuachieni Kanisa Letu!

    Huo walaka sawa, lakini je hizo hela watazirudisha? maana hawazungumizii kuzirudisha hizo pesa.
  10. Binti wa Kinyak

    Unene huu wa waheshimiwa wetu unasababishwa na nini?

    Tatizo wanakula sana tena bila mpangilio wowote. pili hawafanyi mazoezi.
  11. Binti wa Kinyak

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    Wewe mmbeba maono, me naona unayako tu yanayokusibu, wale wapo kazini na kwa njia ile ndo wanapata ugali/mbona. sioni cha ajabu pale. kama hupendi kuwaangalia hulazimishwi acha angalia chanel zingine. Kwani huelewi maana ya Commedy?? mimi nawapenda sana huwa wananifurahisha na kila...
  12. Binti wa Kinyak

    Je, Mwakyembe kujiuzulu Ubunge?!

    Ameongea la maana sana Mwakyembe, waache kutufanya sisi hatuna akili.
  13. Binti wa Kinyak

    Love Journals

    Ipo siku utafanywa kama kijana Lalo
  14. Binti wa Kinyak

    Love Journals

    Shy wewe mtoto acha kujichanganya. labda uwadanganye wasiokujua wewe, kwa jinsi nikujuavyo, angalia dunia ya ukimwi hii utakufa ukiwa bado kijana. Hujui nini maana ya kupenda wewe! Angalia we mtoto wa kichaga
Back
Top Bottom