Statement ya mwisho ya JPM sijaielewa kabisa. Kuwa wapo wanachadema wanamwomba awateue lakini hawateui ili upinzani usife. Kumbe mama Mgwila sio mpinzani? Ha ha ha ila chadema na nyie njaa hadi kuomba uteuzi
Sasa ni dhahiri bila shaka. Baada ya Prof. Muhongo kuondolewa kwenye nafasi yake ya Uwaziri wa nishati na madini.
Mgao wa umeme umeanza kurudi taratibu. Huku kwetu tangu jmosi tunapata adha ya kukatika umeme kila Siku jambo ambalo tulikuwa tumelisahau kwa muda mrefu.
JPM tunakuomba...
Manyoni kwa majungu? Endeleeni hivyhivyo mtabaki hapo hapo nilitegemea ungemsifu kwa ufuatiliaji. Kisa umekosa rotation ya night update posho imekuwa nongwa? Manyoni kwa majungu mmezidiiii kila sehemu
Napongeza kwa jitihata zote za MBUNGE. Nilikuwepo nzega last week kwa kweli kuna jitihada kubwa zimefanyika. Lakini nimeona jengo lla abiria pale stand ni dogo sijui kama litakidhi matakwa
Mtumishi WA umma KWENYE serikali hii hususani kada zisizo za majeshi hana nafasi kabisa. No fukuza, simamisha KAZI wakati KWENYE majeshi wanaambiwa yupo NAO na wameahidiwa kulkulipwa marupurupu zaidi na kwa wakati
Naomba kujulishwa huu uteuzi wa Leo wa ma DC na DED mkulu ameendelea kuteua walioshindwa uchaguzi au zamu hii katoa wataalamu? Wenye kuwafahamu walioteuliwa watujuze tafadhali
OK. Nawapongeza kwa hill. Ila inatakiwa jitihada zaidi ya kuongeza High school zifikie at least 6 kwa wilaya nzima pia vyuo 2. Hii itasaidia kuongeza wigo wa elimu kwa wananzega pia uchumi utakua. Tusisahau kukaribisha wawekezaji wa viwanda wengi zaidi
Labda sijui hesabu. Endapo wajumbe waliopaswa in 34 lakini CDM wakatoka wakabaki 18 was CCM hata wangebaki hao was CDM kumbe CCM wangeshinda maana walikuwa 18. Kumbe CDM walijitoa wakijua watashindwa
Anaanza lini kutujengea na anamaliza lini? Isije kuwa story tu. Lakini bora huyu maana walikuja kina Obama, Clinton, Bush hawajatusaidia chochote bora huyu kitu kitaonekana na hapo atssaidia mechi zote za mataifa zifanyikie Dom ili watz wote tuhudhurie
Link Kili imekuwa high school? Au mnataka kufunika aibu ya Nzega? Kifupi wilaya ya nzega haikuwa na high school hata moja ya serikali sasa Mhe.Bashe ameanza kuhamasija ujenzi was shule moja ya Bulunde.
Ikumbukwe Mhe. Kigwangala alitudanganya kuwa hadi anamaliza kipindi chake angekuwa amesaidia...
Kamama makusanyo ya serikali ni tilioni 1.5 kwa mwezi serikali ikiamua kuweka kila mwezi b. 100 kwaajili ya CDA inawezekana maana baada ya mwaka mmoja na mwezi mmoja hiyo tirioni 1.3 itakuwa imekamilika.
Tatizo kipindi cha nyuma serikali haikulipa kipaumbele suala LA mipango miji ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.