Search results

  1. George Maige Nhigula Jr.

    ARUSHA: Watoto wawili kati ya wanne waliokuwa wametekwa wapatikana wakiwa wamekufa

    Nadhani kuna tatizo kwenye vyombo vyetu vya usalama kwenye ufatiliaji wa maswala ya utekaji, au havina uzoefu ama nyenzo. The first 24hours huwa ni crucial sana kwenye upelelezi na kupata leads muhimu zinazoweza kuwanasa watuhumiwa. Imechukuwa mda mrefu sana kumkamata mtuhumiwa wakati alikuwa...
  2. George Maige Nhigula Jr.

    Last week of smear campaign beware

    Ndugu zangu Watanzania wote, Napenda kuwatahadhalisha tuwe makini na propaganda za kipuuzi ambazo imekuwa ni kawaida sana kwa vyama tawala barani afrika kuwatisha wananchi au kuwachafua wagombea ambao wanaonekana tishio kwa uhai na maslahi ya vyama hivyo. Sote tunafahamu ifikapo jumapili ya...
  3. George Maige Nhigula Jr.

    Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    Wakiona miti na majani wanazani ni watu wamevaa sare za ccm mkuu umenimaliza😂😂😂😂
  4. George Maige Nhigula Jr.

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Zitto atawasadia kupata jimbo la kigoma Kazikazini na kigoma mjini, then atarudi bungeni na kuendelea kupiga deal zake na ccm, Zitto cant be trusted! mambo yote waliyosema CHADEMA dhidi ya zitto kuwa ni msaliti leo hii yametimia Tunamtakia kila la kheri
  5. George Maige Nhigula Jr.

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    ACT-WAZALENDO wanamwabudu mtu badala ya kujenga chama imara, kwa mtazamo wangu ACT si chama cha siasa bali wamejaa ZITTO WORSHIPERS!
  6. George Maige Nhigula Jr.

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Wana Chadema wote, Naomba tumshukuru mungu kuwa Jaribio hili la kudhoofisha chama limeshindwa vibaya sana na mungu ataendelea kuwa umbua wote wenye Mawazo ovu juu ya ukombozi. Chadema Ina sala, dua na maombi ya watanzania wengi sana. Tunamshukuru mungu kwa kujibu maombi yetu na kuanika Mahasidi...
  7. George Maige Nhigula Jr.

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Mwanakijiji, Ulitaka chadema wafanyeje? Wasusie uchaguzi mpaka hapo daftari litakapo fanyiwa marekebisho? Kwa faida ya nani?
  8. George Maige Nhigula Jr.

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Ndugu yangu Candid Scope, Hoja ya wapiga kura wale wale Ina mantiki pana sana nadhani unaelewa sample na nature ya wapiga kura wa CCM , kwanza lazima wapewe kitu kidogo, uelewa Mdogo , elimu ya kujitambua na Uraia Ndogo na wamekuwa victim wa mfumo mbovu wa utawala hivyo wamejazwa hofu...
  9. George Maige Nhigula Jr.

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Mzee Mwanakijiji, Nakubaliana nawe kuwa uboreshwaji wa daftari la wapiga kura ni ISSUE iliyojitokeza sana kwenye chaguzi Ndogo toka 2010 na Hata Nyuma ya hapo BUT je tunaikataa sababu ambayo ni obvious kabisa kwa sababu tu imekuwa ikitokeza Mara kwa Mara AU tungeikataa kwa sababu ilikwisha...
  10. George Maige Nhigula Jr.

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Mi nadhani sababu kubwa ya CHADEMA kutofanya vizuri zaidi ni moja Kuu 1. DAFTARI LA WAPIGA KURA HALIJABORESHWA TOKA UCHAGUZI WA 2010 HIVYO WAPIGA KURA NI WALE WALE WANAOPIGA KURA KWA MAZOEA 2.Nadhani CHADEMA WAMEONGEZA WAPIGA KURA WENGI WAPYA KUTOKANA NA OPERATION A MBAO NI VIJANA AMBAO...
  11. George Maige Nhigula Jr.

    Nahitaji Supplier as SAW PALMETTO haraka sana

    Ndugu wana Jamii, Bado sijapata Msaada wa kupata contacts za mtu yoyote mwenye proper information ya jinsi ya kupata na kununua Saw palmetto kutoka Tanzania . Please mwenye serious information tuwasiliane haraka sana kwa namba hii 0756183070 au nimtumie SMS then I will call u back. Tunatoa very...
  12. George Maige Nhigula Jr.

    Tunahitaji supplier wa SAW PALMETTO kutoka Tanzania

    Kwa sasa nipo Nairobi lakini Mimi ni mtanzania nahitaji nyingi kuanzia 500 tani hivi Kama unajua ni email contact zako ntakupia tuongee kwa kirefu
  13. George Maige Nhigula Jr.

    Tunahitaji supplier wa SAW PALMETTO kutoka Tanzania

    Ndugu wana Jamvi, Tunahitaji supplier wa raw materials kutoka Tanzania ambayo ni Saw Palmetto please if you have any information kuhusu supplier wa saw palmetto kutoka Tanzania tuwasiliane kwenye email hii maigegeorge@me.com kwa watakaotupa proper information za supplier then tutawapatia...
  14. George Maige Nhigula Jr.

    Msaada wa namba za simu za mkuu wa wilaya ya KIBONDO

    Ndugu wana Jamii, Naomba Msaada wa namba ya simu ya mkononi au ya ofisini ya Bwana Venance Mwamoto mkuu wa wilaya wa Kibondo Tafadhali. Email me at maigegeorge@me.com au ni inbox hapa JF tafadhali
  15. George Maige Nhigula Jr.

    Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    Sasa wananchi Tunaweza Kuwashitaki BWM na JK kwa kuvunja katiba ya nchi ambayo waliapa kulinda na kuitetea? They can't shred our constitution and go unpunished!
  16. George Maige Nhigula Jr.

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    Ndugu yangu Zomba, Unahitaji maombi ya deliverance au ukapungwe hayo majini yaliyokufunga na kukupa roho isiyokuwa na chembe ya utu! kha! nyinyi ndo wanyonyaji wa damu za watanzania.!
  17. George Maige Nhigula Jr.

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Nape Anachanganyikiwa na milioni 270 cash na ahadi milioni 240 za Makamanda juzi pale Serena tu? mbona zipo nyingi tu Makamanda tunazikusanya! wataumia roho sana, lakini nchi hii mpaka TUIKOMBOE. Watake wasitake..
  18. George Maige Nhigula Jr.

    Where is Separation of POwer BTN BUNGE na SERIKALI - Bunge letu sio huru, Ma speaker wote ni MAMLUKI

    Ndugu wana Jamii wenzangu, Imekuwa kawaida sasa kwa kiti cha Speaker kufanya hila na mbinu zote chafu kuilinda serikali kwa Hali na Mali na kiti cha speaker kuwanyima wabunge haki Yao ya kikatiba ya kusimamia na kuishauri serikali hivyo basi tumekuwa tukishuhudia Bunge likifanya kazi Kama ni...
Back
Top Bottom