Search results

  1. Mshana Jr

    Jacob Zuma ajiunga na upinzani ili kupambana na chama kinachotawala cha ANC!

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea kupitia uMkhontho weSizwe (MK), chama kipya kilichosajiliwa karibuni kikitumia jina la Jeshi la msituni...
  2. Mshana Jr

    Maisha ya baadaye ya watoto wetu yanahitaji wawe na Elimu, network na investment

    Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
  3. Mshana Jr

    Je wajua haya kuhusu Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  4. Mshana Jr

    Mambo usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    (....Usipite bila Kusoma......) 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama...
  5. Mshana Jr

    Picha: Mipaka ya nchi mbalimbali duniani

  6. Mshana Jr

    Upendo wa kweli upo ama ni magumashi?

    Fundi huyu maskini alikuwa akichumbiana na msichana huyu mrembo mtandaoni. Siku moja msichana huyo alimwomba amtumie nauli ili aje kumtembelea. Fundi kijana alishangaa mno. Alidhani msichana huyo atamdanganya. Hakuamini msichana mrembo namna hii angetaka kuja kwake. Siku mbili baadaye...
  7. Mshana Jr

    Asili na maana ya DHL

    Kampuni maarufu duniani ya kusafirisha vufurushi ilianzishwa Mwaka 1969 na vijana watatu ambao walianza biashara ya kupeleka vifurushi mlango kwa mlango katika mji wa Plymouth Duster ya zamani huko Uingereza na taratibu milango isiyo na kifani ikaanza kufunguka! Adrian Dalsey, Larry Hillblom...
  8. Mshana Jr

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu...
  9. Mshana Jr

    Lori lagongana na Coaster uso kwa uso, watu tisa wafariki dunia

    Kuna taarifa ya ajali barabara ya Msata-Bagamoyo daladala Coaster imegongana na lori imeua watu wote. Tungoje taarifa zaidi. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu panapostahili. ====== Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya barabarani baada ya basi dogo la...
  10. Mshana Jr

    Ziara ya Mwenezi ilivyommaliza Mwenezi na kuibua mapya

    Kuna nguvu huamua hatima yetu.. Kuna nguvu hutuandalia matokeo tusiyopanga wala tusiyoyataka Kwa waamini wa kiimani nguvu hiyo huuita Mungu au miungu na kwa wasio waamini nguvu hiyo huuita Asili Kwamba Mungu, miungu ama Asili ndio vimebeba hatima yetu..! Iwe hasi ama iwe chanya Ukipanga jambo...
  11. Mshana Jr

    Tutafika njiapanda ya akhera tukiwa hoi mno

    Taifa lenye wakazi waliochanganyikiwa kuliko wagonjwa walioko Lutindi Korogwe Tanga na Mirembe Dodoma.. Na hawa wote kama si viongozi wa kisasa basi ni watu fulani wenye kaumaarufu fulani.. Sasa kama hawa ndio vioo vya Jamii basi wengine wote wana makengeza Ripoti mbalimbali Wale wote...
  12. Mshana Jr

    Caption this philosophical way of making

    How love selfishness and cheating can destroy entire family future[emoji174][emoji174][emoji174]
  13. Mshana Jr

    Je, ilikuwa sahihi kwa Rais kuiasa hadharani familia ya Mzee Mwinyi isigombane?

    Maslahi ya mada, 1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu. 2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama kuna familia za baba na mama mmoja watoto wanatofautiana na kugombana kabisa wazazi wanapofariki si...
  14. Mshana Jr

    Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

    Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti...
  15. Mshana Jr

    Mazishi ya Mzee Ally Hassan Mwinyi kufanyika Unguja: Je, wosia wake umezingatiwa?

    Minong'ono ya chini kwa chini inasema katika wosia wake Mzee Mwinyi alitaka akazikwe Mkuranga nchini Tanganyika wazazi wake walipolala na si nchini Zanzibar alikoenda kama mhamiaji kwa mahitaji ya kisasa miaka hiyo Wiki chache zilizopita kulikuwa na harakati nyingi huko wilayani Mkuranga hasa...
  16. Mshana Jr

    LATRA anzisheni route ya Kibaha Kariakoo, Ferry Mbezi Luois papumue

    Sheria na kanuni za LATRA si kwamba ni msahafu kwamba haziwezi kubadilishwa ama kutenguliwa ndio maana wametoa tena ruti ya Mbezi Mnazi mmoja .. Hii ruti ilikuwepo lakini ikafutwa baada ya ujio wa mradi wa mwendokasi unapoelekea kufeli kwa speed ya kutisha.. Sekta ya usafiri inapaswa kubadilika...
  17. Mshana Jr

    Wiki ya wanandoa: Talaka ya Davis Mosha, hukumu ya mauaji wifi wa mke wa Bilionea Msuya

    Mfanano wa kesi: Zote ni za kaskazini Zote zinahusu mabilionea wakubwa Tanzania Zote zinahusiana na utajiri, chuki, visasi.. No more [emoji174] Utofauti Moja ni talaka, wanandoa wote bado wako hai japo kuna tuhuma za kujaribu kuwekeana sumu Nyingine ni ya mauaji, mwenye mali kafa, ndugu...
  18. Mshana Jr

    JF miaka 50 ijayo akili bandia itakapokuwa ndio kila kitu

    Hii kitu si ramli wala utabiri wa kubahatisha bali ni mchakato wenye matokeo yasiyozuilika wala kushindwa.. Ni mchakato unaoipeleka dunia na ulimwengu mahali ambako binadamu, mimea na viumbe hai vv yote vitakuwa si vitu vya asili tena bali vya kupangwa na kutokea kwa kutumia akili bandia tuu...
  19. Mshana Jr

    Siri ya kaburi

    Pamoja na upweke wake na kuogofya kwakwe kwa wale walio hai inawezekana wafu wenyewe wakifika huko ni full shangwe, full bata, full maokoto Kuna simulizi za kusadikika kwamba huko makaburini kuna maisha yanaendelea kama huku duniani tuu .. Tofauti yake ni kwamba huku tunasubiri kufa ila wao huko...
Back
Top Bottom