Search results

  1. C

    Vicky Kamata Anastahili Pongezi! Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!

    kwanza umemwita baby na halafu unasema leo full kindumbwendumbwe Questions(6) Supplementary Questions(4) Contributions(24) hapa nachoona watu...
  2. C

    Kauli yetu wanajimbo: Tundu Lissu asahau kurudi bungeni

    Angalia sana muda wa kampeni za kunuliwa baado Huyu atakuwakilisha kupitia nafasi nyingine ya juu atakayopewa na chama. Shughurli zote anazozifanya juu ya jimbo lako na Taifa huzioni????? wewe ni mzigo kwa wana singida na taifa kwa ujumla.
  3. C

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Lowassa ni "oasis in the desert" kwa watanzania

    Mbona WaTZ chaguo letu ni Dr.Slaa inakuwaje unapotosha muda huu katika kuelekea 2015 ? Tunataka mtu anayeweza kufanya kazi za WaTZ na sura mpya kabisa na siyo atakayekuja na kundi la akina Lukuvi,Wasira,Membe na wengineo? Dr.Slaa baado ni nyota inayong'ara kwa WaTZ 2015 hilo halina ubishi.
  4. C

    Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013

    Kilichofanywa na CC ya CHADEMA kwa wanachama wasaliti ni cha kupongezwa sana na nawaomba uongozi wa juu usiyumbishwe na majadiliano yanayoendelea sehemu mbalimbali ha nchini. CDM ni chama ambacho hakimumunyi maamuzi yake wala HAKINA SERA ZA HOVYO KWA ANAYEKISALITI AU KWENDA KINYUME NA TARATIBU...
  5. C

    Wito kwa wana CHADEMA wote!

    INASIKITISHA sana kwa watu wanaotumika kwa kurubuniwa na wasioitakiwa mema Nchi yetu hasa katika kipindi hiki nyeti cha kuelekea kwenye chaguzi muhimu,ambapo Watanzania wanaofikiria kuutumia muda wao vizuri kwa kuchagua chama makini na viongozi wake wakishuhudia mbinu chafu toka kwa baadhi ya...
  6. C

    Wananchi 200 wauawa nchini Misri asubuhi hii

    Huu ushauri wako ungewapa akina Nchemba,Nape n.k au viongozi wa ccm wanaodhani hakuna mabadiliko kwa njia ya amani.
  7. C

    Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    Si sahihi kuthathmini kitakachotokea katika chaguzi za Tanzania 2015 kwa kulinganisha na kinachotokea au kilichotokea Zimbabwe. Sababu za kusema hivyo ni hizi chache tu na kama yupo mwenye kuongezea hapo anakaribishwa. 1.Zimbabwe imeendelea kuwa na viongozi walewale wa muda mrefu ndani ya ZANU...
  8. C

    Kiongozi aliyefanya mapinduzi ya kijeshi mara mbili

    Ghana,Jerry Lawling
  9. C

    Msimamo wa CHADEMA kuhusu ndoa za jinsia moja na ziara ya Dr Slaa barani Ulaya!

    CHADEMA haitakaa hata siku moja ikawa na majibu ya kujibu UPUUZI kama huo unaouleta hapa jamvini. Ukitaka uolewe wewe CCM haijatoa pingamizi na yenyewe ndio yenye serikali hivyo uliza kwake kibali cha wewe ili uolewe. Suala la Dr.Slaa kuwa nje ya Nchi halikuhusu wewe,uliza hao wanaoafanya ziara...
  10. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    ulijijua kabla hata hujaamua kuandika pumba zako ni nani ambaye haoni yanayoendelea hata ukawa unawasemea. ngapi hapa umelipwa?????????????????????????????? Take care: Kila mtanzania anaona kinachoendelea Hazungumziwi wala hafafanuliwi kinachofanyika kwa sasa. Kula hizo zikiisha tafuta tena...
  11. C

    Mchakamchaka ya CUF chali, yageuka chama cha press conference

    1.hamkuwa na wanasheria,wataalam,au watu wenye plan ndani ya CUF na hatimaye mkajikuta mnamkumbatia ccm. 2. kupigwa kwa viongozi waupinzani sio dalili ya umakini waviongozi hao kuleta ukombozi unaokusudiwa. 3. iweje aliyekupiga leo hii umeungana nae SHIDA yako pale ilikuwaupigwe kwanza halafu...
  12. C

    Nani wanamshauri rais TZ? - Lazima tutafakari hili...

    wazo zuri nderingosha
  13. C

    Sitajiuzulu kwa kuogopa majungu ya vyama vya upinzani-Mulugo

    Bw.Mulugo,nikutahadharishe na majibu yako kuwa si sahihi na majibu unayowajibu watanzania kama hayo na hasa ukizingatia baado sababu za kufeli vijana wetu hazijatolewa kwa uwazi zaidi. Imekuwa ni kawaida kwa kila kiongozi aliyepo ccm anapokumbana na kashfa zinazomhusu anakimbilia kujitetea kwa...
  14. C

    Nitagombea ubunge jimbo la Serengeti 2015

    Omokora Nyangi,taarifa ya tafiti ulizofanya na kujiridisha nazo ni vizuri ukazitumia kukijenga chama kwanza kupitia kwa wananchi,badala ya kutaka kujijenga wewe mwenyewe. Chadema,watu wake na hasa wanachama safi hawajaanza kutangaza nia zao,ila wapo kwenye mkakati wa ujenzi wa chama kwa kutumia...
  15. C

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Tupeni na ya jembe Mbowe sisi tuliopo mbali huku kusini
  16. C

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Chama kilichokuwa kinalia kuwa CDM inaingilia ngome yao,Je viongozi wao wameshiliki???????????????? AU ni vile vyama vya njaa kwa viongozi wao wakishapewa nafasi kimya hakuna uwakilishi wa wananchi kama tunavyoona Bungeni
  17. C

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    ahsanteni wanajf kwa kutuhabarisha tuko pamoja wana -UKOMBOZI WETU.
  18. C

    Dr. Slaa: mahakama ya wananchi isiwe malumbano yasiyo tija

    huna points kwani bungeni wewe ulikuwa kipofu na kiziwi otherwise ni walewale wanaowacheleweshea wananchi UKOMBOZI WAO. CHADEMA HAIPANGIWI CHA KWENDA KUWAMBIA WANANCHI TANGU HAPO WALISHAKUWA NA HOJA AMBAZO HATA SISI TULILIONA BUNGE LILILOPITA. KAA KIMYA.
  19. C

    Serikali iko taabani kifedha

    Lakini wakati huo huo Tundu Lisu anawaeleza ukweli kuwa kuandaa Benkiya kutoa mikopo kwa vijana ni lugha ya kutongozea KURA 2015,Watz wengine wanamwona kama asiyewajali vijana. Je nani anayewapenda vijana kwa yule anayesema ukweli au anayejipendekeza kwa kudanganya na wakati akijua jambo hilo ni...
  20. C

    Kinana: Sina muda na Wapinzani, Nape ni kiboko yao!

    Kinana misemo kama yako ya kusema huna muda wa kujibizana na wapinzani ndio MAJIBU mliobakia nayo:- Kama si hivyo basi nijibu mimi mwananchi au mtanzania anayetaka kujua yafuatayo:- 1. Kabla ya hizo tarehe za maadhimisho ya ccm kule Kigoma hukuwahi kufikiria adha ya usafiri wa treni wanayoipata...
Back
Top Bottom