Search results

  1. M

    Picha: Wake wawili wawili:sheria ya serikali inasema nini na pesa za walipa kodi?

    Bi Zakia Bilal Bi Asha Bilal Mhe Ali H Mwinyi tunajua alikuwa nao. Huyu VP naye naona ana wake wawili. Tetesi: kuwa JK naye ana wake wawili. Hivi sheria za serikali zinasema nini kuhusu kuwa gharamia hawa mabibi ?
  2. M

    Waandishi na uzembe

    Nadhani siko mwenyewe katika hili, nina sikitishwa sana na vichwa vya habari vyenye makosa ya kizembe kabisa kwenye magazeti yetu. Haya makosa tukiacha kuangalia habari yenyewe ndani (body), ata vichwa vya habari vina kasoro kubwa. Naomba hii thread ipelekwe panapohusika Huu ni mfano tu...
  3. M

    Hivi ni kweli kazi yetu ni kunung'unika tu?

    Habari za Kitaifa Mzindakaya ataka wabunge kuacha kunung’unika Mwandishi Wetu, Dodoma Daily News; Sunday,April 20, 2008 @00:03 MBUNGE wa Kwela, Chrisant Mzindakaya (CCM), amewataka viongozi na wabunge nchini kuacha kunung’unika kama wafanyavyo wananchi, badala ya kuchukua hatua ya kuondoa...
Back
Top Bottom