Search results

  1. Kakende

    Huu Upendo wa bendera nusu mlingoti umetoka wapi ghafla, mbona hatukuuona tetemeko la Kagera, Vifo vya wanafunzi Lucky Vincent?

    Tumeshuhudia ajali kadhaa miaka ya karibuni, mfano vifo wa wanafunzi 32, walimu 2 na dereva. Hatukushuhudia upendo kama wa hivi sasa wa majeraha wa moto kupelekwa Muhimbili kwa helicopter, kujuliwa hali hospitali na kupewa vibahasha vya pesa. Serikali nzima kuhamia Morogoro na kushiriki na...
  2. Kakende

    Hongera Mexence Melo wa JamiiForums, umekataa kutoa taarifa za watumiaji wa JamiiForums makampuni ya simu yametoa

    Kwa kifupi kabisa, hongera sana Mexence Melo kwa ujasiri mkubwa. Umekuwa ukipitia wakati mgumu kwa kukataa kuwasilisha taarifa za watumiaji wa Jamii forum. Makampuni ya simu kwa uoga yamekubali kudhalilisha wateja wao kwa kuvujisha maongezi yao ya faragha. Big up bro
  3. Kakende

    Why so-called Islamic State chooses to bomb during Ramadan

    'Path of Allah' The belief in Ramadan as a month of war comes from Islamic history itself. The Prophet Muhammad waged his first jihad, known as the Battle of Badr, during Ramadan in 624. Eight years later he also conquered Mecca during the month of Ramadan, thereby claiming the city which...
  4. Kakende

    Trump: Hii jamii ambayo inawaweka wanawake utumwani, haina nafasi Marekani

    Nimesikiliza hutuba ya Trump jana, katika ile hotuba amesema hii jamii ya waislam wa itkadi kali ambayo imewafanya wanawake kuwa watumwa, inayoua wakristo na wayahudi. Haina nafasi Marekani. Ameahidi kuwaondoa mara moja akiwa Rais Katika hotuba ile, bila shaka aliposema kuwa jamii inayowafanya...
  5. Kakende

    If You Mess With Israel, USA will be there

    The president in an interview told to the New York Times to give away the unconfirmed deal to the questions which are accusing him of giving much more than needed, Barack highlighted that they have got their backs of hostility in the Iran's face. He added, if there is not a chance to block...
  6. Kakende

    Wanawake Afghanistan wavunja mwiko wa Mazishi, wazika mwenzao alieuwawa kimakosa kwa Quran

    Kabul mob attack: Women help bury 'wrongly accused' Farkhunda The coffin of a woman, killed by a mob in Kabul on an apparently false charge, has been carried by women, marking a break with Afghan funeral customs. Hundreds of people attended a funeral for the woman, named as...
  7. Kakende

    Swali: Kwanini wavaa Hijab wako hivi?

    Huwa nashangaa kwanini wasichana wanaovaa Hijab huwa wanafuga nywele au wanasuka, ukiangalia umbo la Hijab kichwani utaona kuwa wamefungia nywele kwa nyuma au wamesuka, kwanini wanasuka wakati katika maisha yao nywele zao hazitaonekana hadharani? Kwa wale walioolewa watakwambia ni spesho kwa...
  8. Kakende

    Kwani watu wengi wanapenda Masturbation?

    Utafiti unaonesha asilimia 95 ya wanaume wanafanya mastutbation,. 89% wanawake wanafanya masturbation.Pia asilimia 70 ya wanandoa wanafanya Masturbation. Pia wanawake 4 kati ya 10 wanapendelea masturbation kuliko kufanya mapenzi na mwanaume. Kwanini hali iko hivyo? Source...
  9. Kakende

    Hivi kwanini watuhumiwa wa ufisadi ndio wanaongoza kwa kuutaka Urais 2015?

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kwanini watuhumiwa wa Ufisadi, au waliosababishia watanzania hasara na upotevu wa fedha wamekuwa msitari wa mbele kuonesha nia ya kugombea Urais ukilinganisha na wale wasio na kashifa? Mfano: Lowasa; huyu amekuwa msitari wa mbele richa ya kukabiliwa na tuhuma ya...
  10. Kakende

    Ushauri: Kuhusu ukosefu wa dawa kwenye mahospitali

    Kwa kuwa CCM wamefanikiwa kuiba fedha za ESCROW na kufirisi nchi sasa nawashauri Watanzania, madawa hakuna kwenye mahospitali, sasa ni wakati wa kutumia miti shamba kujitibu. Mababu zetu walitumia mizizi kujitibu na waliweza kuokoa maisha yao. Sasa ni wakati wa kuchimba mi arobaini na ni Alovera...
  11. Kakende

    Nilianza kuvutiwa kidogo na katiba hii, Mbona sasa CCM mmeniangusha?

    Katiba inasema mambo mengi kuhusu Haki za Binadamu ikiwemo wakulima, wafugaji, wanawake, vijana nk. Lakini kumbe kuna vifungu vinavyosema haki zote hizo hazitakuwa na nguvu ya ki mahakama. Hii ikimaanisha unaweza kupata haki hizo au usizipate.Katiba ilinivutia kwa mbali ingawa bado inawafanya...
  12. Kakende

    URGENT: ISIS evacuates its Mosul headquarters in fear of American air strikes

    Source: iraqinews http://www.iraqinews.com/iraq-war/urgent-isis-evacuates-mosul-headquarters-fear-american-air-strikes/
  13. Kakende

    Kurdish forces 'break IS hold on Mosul dam'

    Kurdish forces 'break IS hold on Mosul dam' Kurdish forces in northern Iraq are in near complete control of Iraq's largest dam after ousting Islamic State (IS) militants, Kurdish officials say. Ground forces supported by US air strikes launched the operation to take Mosul dam on Sunday...
  14. Kakende

    Hongera Obama kwa kuitikia wito wa Papa

    ISIL wamevamia mji IRBIL ambao ni mji wa wakristu wengi na kuwataka wabadili dini au wauwawe, au walipe kodi. Jamii hiyo ya Kabila la Yazid wamehamua kukimbilia milimani, wamekaa huko bila huduma wakitarajia muda wowote wanauawa. Baada ya hali kuwa mbaya Pope akaomba jamii ya kimataifa iingilie...
  15. Kakende

    Maneno mazito kutoka kwa mmwanamke mmoja Iraq

    Baada ISIL kuvamia Iraq wamechoma makanisa 30 na kusambalatisha kaburi la Yona wa kwenye Bible. Sasa wamewataka wakristu wa huko wabadili dini au walipe kodi ama wauawe, hii imepelekea jamii ya kikristu kukimbia makazi yao vijijini. Katika maandamano yaliyoitishwa ya kutetea uteswaji wa...
  16. Kakende

    Malala akutana na Rais Goodluck Nigeria

    Mwanaharakati mwenye umri mdogo raia wa pakistan Malala Yousafzai amekutana na rais wa Nigeria Goodlack Jonathan mjini Abuja. Lengo la mkutano huo ilikuwa kwa Malala kushinikiza Rais Goodluck kuchukua hatua zaidi ili kuwakoa wasichana wa shule waliotekwa na kundi la...
  17. Kakende

    Dah, Serikali ya Tanzania kupanua wigo wa hospital India

    Serikali iko kwenye mchakato wa kupanua wigo kwa kutafuta hospital nyingine India ambayo itakuwa bei nafuu. Kwa sasa serikali inatumia hospital ya Apolo inapopeleka wagonjwa India. Source Channel ten Hii ni aibu kwa nchi yetu, miaka 50 tangu tupate uhuru lakini bado tunakuwa na mfumo maalum wa...
  18. Kakende

    Mwanadamu aliumbwaje? I just want to know

    Kutokana na sperm/mbegu za uzazi Qur'an 16:4 He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer! Binadamu kaumbwa kwa udongo Qur'an 15:26 We created man from sounding clay, from mud moulded into shape; Kaumbwa kwa vumbi Qur'an 3:59 The similitude of...
  19. Kakende

    Magaidi 9 China wahukumiwa adhabu ya kifo

    Source: China sentences nine to death for terrorism offences in Xinjiang | World news | theguardian.com Magaidi 9 waliohusika na mauaji mwezi uliopita huko Xinjiang wamehukumiwa kifo. Wachina huwa hawana lele mama. Ingekuwa nchi nyingine ingechukua hata miaka 5, lakini kwa china wao huwa ni...
Back
Top Bottom