Search results

  1. Kakende

    Huu Upendo wa bendera nusu mlingoti umetoka wapi ghafla, mbona hatukuuona tetemeko la Kagera, Vifo vya wanafunzi Lucky Vincent?

    Tumeshuhudia ajali kadhaa miaka ya karibuni, mfano vifo wa wanafunzi 32, walimu 2 na dereva. Hatukushuhudia upendo kama wa hivi sasa wa majeraha wa moto kupelekwa Muhimbili kwa helicopter, kujuliwa hali hospitali na kupewa vibahasha vya pesa. Serikali nzima kuhamia Morogoro na kushiriki na...
  2. Kakende

    Hongera Mexence Melo wa JamiiForums, umekataa kutoa taarifa za watumiaji wa JamiiForums makampuni ya simu yametoa

    Kwa kifupi kabisa, hongera sana Mexence Melo kwa ujasiri mkubwa. Umekuwa ukipitia wakati mgumu kwa kukataa kuwasilisha taarifa za watumiaji wa Jamii forum. Makampuni ya simu kwa uoga yamekubali kudhalilisha wateja wao kwa kuvujisha maongezi yao ya faragha. Big up bro
  3. Kakende

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Waje na mapendekezo kwani wamepewa ripoti?
  4. Kakende

    Chenge jiuzulu Uenyekiti wa Bunge kwa kashfa hii ya kuliibia taifa kupitia mikataba mibovu ya madini

    Mkuu Che Mkuu Chenge ni kama mgongo tu, CCM wanamtumia kuiba. Yeye huwa anachukua mzigo na kuwapa wenzake
  5. Kakende

    Chenge jiuzulu Uenyekiti wa Bunge kwa kashfa hii ya kuliibia taifa kupitia mikataba mibovu ya madini

    Chenge mtamuonea tu, yeye Kazi yake ni kutekeleza ilani ya CCM. Ndio maana na tuhuma zake zote bado CCM wamempa uenyekiti wa Bunge kumpongeza kwa utekelezaji wake wa ilani
  6. Kakende

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Najaribu kufikiria, kwanini Mzee Lowasa ambae tumeaminishwa kuwa ndie fisadi mkubwa hayumo kwenye haya makashfa makubwa ya madini, gesi, na escrow?. Hivi kweli huyu mzee ni fisadi kweli?
  7. Kakende

    Why so-called Islamic State chooses to bomb during Ramadan

    'Path of Allah' The belief in Ramadan as a month of war comes from Islamic history itself. The Prophet Muhammad waged his first jihad, known as the Battle of Badr, during Ramadan in 624. Eight years later he also conquered Mecca during the month of Ramadan, thereby claiming the city which...
  8. Kakende

    Waziri Zanzibar atoa siku 14 walioharibu mikarafuu yake kujisalimisha, vinginevyo atasoma Albadir

    Waziri anaeamini katika ushirikina usitegemee maendeleo
  9. Kakende

    Waziri Zanzibar atoa siku 14 walioharibu mikarafuu yake kujisalimisha, vinginevyo atasoma Albadir

    Amesema ataita Waganga wote Tanzania, Je Albadri ni Uchawi?, Je uchawi unatumika kwenye Uislam?
  10. Kakende

    Waislamu wachanga fedha kujenga kanisa kwa ajili ya Wakristo

    Ni unafiq tu huo, utawajengeaje Kanisa watu ambao mtume wako anawaita Kafirr?, hilo kanisa halitachukua miaka 5 kabla ya kubomolewa. Tena litabomolewa siku ambayo kijana wa kikristo ataoa muislam
  11. Kakende

    Trump: Hii jamii ambayo inawaweka wanawake utumwani, haina nafasi Marekani

    Nimesikiliza hutuba ya Trump jana, katika ile hotuba amesema hii jamii ya waislam wa itkadi kali ambayo imewafanya wanawake kuwa watumwa, inayoua wakristo na wayahudi. Haina nafasi Marekani. Ameahidi kuwaondoa mara moja akiwa Rais Katika hotuba ile, bila shaka aliposema kuwa jamii inayowafanya...
  12. Kakende

    Siri 5 Mauaji Msikitini

    Kuna haja ya kuzuia watoto wasiingie misikitini ili wasiuawe
  13. Kakende

    Siri 5 Mauaji Msikitini

    Kwa hiyo Mungu wenu huwa ananusa hiyo harufu ya uchafu?
  14. Kakende

    Hata Mbunge alierudi Bungeni nae anapewa mkopo wa gari jingine!!

    Si kila anaekopa ananunua gari, don't be like a kid. Ingawa siungi mkono ukopaji kupitia Ruzuku ya Serikali
Back
Top Bottom