Search results

  1. Fisherscom

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mali safi sana hii [emoji39][emoji39]
  2. Fisherscom

    Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

    Wiki ndefu, siku 3 tuu tushakusahau. Hata wasifu unakua mfupi. Marehemu alizaliwa, akasoma hadi darasa la 6. Kaanza kuzurula huku na kule kambua magonjwa kisha kafariki na leo tunamzika.
  3. Fisherscom

    Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

    Nasubiri ukuje pande hii mrembo [emoji849]
  4. Fisherscom

    Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

    Mlo mmoja kwa siku shida, hiyo hela ya manukato anapata wapi?
  5. Fisherscom

    Safari ya kufuata mhogo

    Aisee...pole sana bi dada
  6. Fisherscom

    Siku nikifa au ukifa nani atawajulisha watu humu JF

    Nitawajulisha mimi mwenyewe nikiwa kuzimu jameeen
  7. Fisherscom

    FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

    Mwishooooni ni dakika ya ngapi mkuu maana mpira tayari umeisha 1 - 1
  8. Fisherscom

    Natafuta rafiki wa kiume

    Na marafiki mara nyingi huwa wanakulana kiutani utanii
  9. Fisherscom

    Msaada: Naenda kutoa mahari kwa mtoto wa Kimbulu, naomba sifa zao

    Hebu rudia hiyo ya tatu kwa sauti mkuu
  10. Fisherscom

    Historia ya kweli: Tuliowahi 'kula' walimu wetu tujuane hapa

    tena wa hovyo sana wewe kijana
  11. Fisherscom

    Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

    Kumbe ni mpemba weyee?
  12. Fisherscom

    Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

    Ambao hawakuunga unga elimu yao wameisaidia kitu gani nchi yetu mkuu?
  13. Fisherscom

    Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

    Bado hujafa mkuu. Mi nikajua tayari uko na uncle Magu saizi unamuhadithia juu ya uzinduzi wa filamu yetu mpya bhana
Back
Top Bottom