Search results

  1. U

    #COVID19 Kinachofanyika Kigoma mechi ya Simba Vs Yanga ni aibu kwa nchi

    Boss unaonaje ukahamia huko kwenye hilo taifa lako linalojielewa?
  2. U

    #COVID19 Kinachofanyika Kigoma mechi ya Simba Vs Yanga ni aibu kwa nchi

    Nakushauri boss uhamie Ulaya ili ukavae barakoa vizuri.
  3. U

    Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

    Corona itaisha tukishapata mkopo wa 1 Trillion
  4. U

    Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

    Mbona Dar nyomi ya Simba na Yanga hatukuona watu wakifa au ni Kigoma tu boss?
  5. U

    Mwigulu aanza tena kampeni zilizomfukuzisha uwaziri awamu ya 5

    Hao wametoka Zambia au?
  6. U

    Mwigulu aanza tena kampeni zilizomfukuzisha uwaziri awamu ya 5

    Kwani lazima wewe umpe? Atapewa na watanzania wengine.
  7. U

    Nawafikishieni Ujumbe Mnaoendesha IST na Vitz

    Lema mkimbizi aliyeko Canada... yaani ametutukana sana! Ngoja aendelee kulelewa huko na wazungu!
  8. U

    Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    Si anapelekewa na vibaraka wake! Unashangaa kitu gani kwenye dunia ya digital?
  9. U

    Silaha ya mlinzi wa Lissu imenitoa ushamba

    Jnaitwa Lissugun
  10. U

    Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Kama alikuwa hataki kutii sheria bila shuruti unategemea wambembeleze!
  11. U

    Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Nawashauri polisi wakutafute na wakikupata wakushughulikie kisawasawa!! Au haupo TZ
  12. U

    Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Nasikia ni jambazi ngoja wampe kazi kidogo ya kufanya!
  13. U

    Uchaguzi 2020 Halima Mdee: Natuhumiwa kumchonganisha Gwajima na madhehebu mengine na waumini wake

    Una ushahidi kwahiyo hata mjumbe wa Chadema naye anakubali hiyo taarifa? Basi hamna wajumbe wa maana!
  14. U

    Chadema na Lissu wapo mitandaoni tu

    Sasa hapo kuna nini?? Mwambieni mpigapicha wenu siku nyingine awe anapiga picha kupitia drone ili tuone ukweli halisi. Angalia nyomi ya Tanganyika Packers TBC1 live. Lakini bado siku 13 tu tuwanyooshe!
  15. U

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu V/S uongozi CHADEMA: Inasikitisha sana kuona Tundu Lissu akifanya kampeni zake bila viongozi Wakuu wa chama

    JK alifungua kampeni huko Lindi, Magula anazunguka Kanda ya Nyanda za Juu (Mbeya, Iringa, Rukwa, Songea na Katavi), Mwinyi yuko Zanzibar, Makamu wa Rais Mstaafu leo yupo Kawe. Unataka wengine wapi sasa?
  16. U

    Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

    Ushindwe katika jina la YESU! Naikiwezekana akurudi wewe pia!
Back
Top Bottom