Search results

  1. M

    Mashine za kutotolea vifaranga

    Mkuu mashine zako unazotoa wapi?funguka zaidi mkuu watu tukupe order. na pia kama tukikubaliana hela ntakutumia kwa njia gani?au kuna mtu huku dar ambaye ndio anakua anapokea hela?
  2. M

    NBC bank ni kero, hivi wenzangu mnawaelewa elewa?

    Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta!mimi ilishanitokeaga ila ilikua tofauti kidogo na wewe!nilikua natakla hela nying kidogo sasa nikaunga que kwenye ATM nikachukua balance nikaunga que kwenye line ya ku draw!kufika kwa teller anasema siwez kukulipa hela zote hizi so inatakiwa uende kwa bulk...
  3. M

    Wafanyakazi wa CRDB Meru Branch Arusha wafundishwe adabu!

    Pole sana mkuu!Benk za bongo mteja si mfalme wala nini!tellers wanajiona utadhani ni managers!hapo unataka kuweka vijisenti vyako!ukitaka mkopo ndio usahau kabisaaaaaaaaaa!kama hujacheua chochote kitu kwa loan officers bas kalaghabaho! Cashiers kuna wateja wao wakubwa ambao huwa wanawahudumia...
  4. M

    Forever Living and GNLD Products Business

    Eee bwana wakuu heshima mbele!aisee haya madudu huku bongo yamekamata watu wengi kichizi!wengine wanaacha hata kula msosi fresh ili wapate kubuy hizo FLP Products!sie tulio na vibarua tunapata vishawishi kwa wengi ambao wapo na FLP tujiunge!kuna washikaji wameuza viwanja wakachanga nauli...
  5. M

    Miguu kuwaka moto visigino kwa mtoto

    Wakuu heshima mbele!wajameni nina shida!naamini kabisa huku jamvini kuna wataalamu waliobobea!mimi kijana wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi minne!ana uzito wa Kg 11,tatizo lake lipo kama ifuatavyo! Huwa hana tatizo lolote ila ikifika mida ya usiku miguu yake visigino vinakua vya moto si...
  6. M

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Wakuu heshima mbele!wajameni nina shida!naamini kabisa huku jamvini kuna wataalamu waliobobea!mimi kijana wanagu ana umri wa mwaka mmoja na miezi minne!ana uzito wa Kg 11,tatizo lake lipo kama ifuatavyo! Huwa hana tatizo lolote ila ikifika mida ya usiku miguu yake visigino vinakua vya moto si...
  7. M

    Msaada wa ku update Window messenger

    Wakuu heshima mbele!mimi ni mtumiaji mzur sana wa MSN messenger kwa kuwasiliana na wadau mbalimbali si unajua tena kupiga simu bongo ni gharama sana!ila kwa sasa imenigomea kabisa niki sign in inanipa hii msg hapa(Window live communications platform has encounted a problem and needs to close.We...
  8. M

    Serikali na Bajaj: Tunaelekea wapi?

    Mkuu zile zinauzwa na wahindi,kuna mdosi mmoja anaitwa Divis peres yupo hapo karibia na Co cabs ya zaman pale kwenye trafic light ya mnaz mmoja corner ya mtaa wa Jamhuri hapa Dar Es salaam. Bei yake ni kuanzia milion 4,kila kitu inclusive.
Back
Top Bottom