heshima kwenu wanajamiiforums! Nina ombi moja kutoka kwenu. Mimi ni mwanafunzi 2nd year katika chuo kimoja jijini dsm. Nikiwa natarajia kufanya project 3rd year naomba mnieleze jinsi ya kutengeneza project proposal nzuri na pia the elements of a good project....
Natanguliza shukrani!
A professor drove into a petrol
station in his sleek state of the
art range rover sports; PROFESSOR: Guy abeg, give me
full tank.
FUEL ATTENDANT: Sir, i dont
speak pidgin, i only speak
English
PROFESSOR: Ok! Good morning, I currently feel a profound desire
to replenish the propelling of...
yote tisa, kumi kufanya ngono kabla ya ndoa ni DHAMBI YA UZINZI mbele ya MWENYEZI MUNGU. Vijana Acheni kuiga tamaduni za Nchi za Magharibi Mtajibu nini mtakapofika kwenye kiti cha hukumu. Mme mwema na mke mwema anatoka kwa Mungu, kuweni na imani na subira, Ogopeni MOTO WA JEHANAM.........
kwa maisha ya sasa ni bora ujiajiri kaka tumia ubunifu na elimu yako vizuri, suala la mtaji itakubidi uanze na kile kidogo ulicho nacho, wengi waliofanikiwa walianza na kidogo wakakiendeleza, kupata mikopo nowdays masharti magumu especially ukiwa ujaanza, cha muhimu mtangulize Mungu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.