Search results

  1. S

    Sheria Zetu ni nguzo ya ufisadi na ulinzi kwa wakubwa

    wahuni watupu,serikali hii ni ya viongozi dhidi ya wananchi kwa kutumia kigezo cha sheria.Tuliona Africa kusini tukapiga makelele kwelkweli,leo kwetu walewale tunaona sawa tu mradi hatujagombana na ukiuliza unahatarisha amani kama ilivyokuwa kule.Inabidi wananchi waunde serikali yao itakayo...
  2. S

    KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

    ukitumia elimu yako kwa faida ya jamii yako umeelimika but ukikariri maandishi na vifungu vingi visivyo na msaada huna maana,utaishia kujisifu kwa chuo ulichosoma HEBU ELIMU ITUSAIDIE WATANZANIA,mbona tunaishia KUISAIDIA ELIMU tu?
  3. S

    Taarifa kwa Wanajukwaa la Elimu.

    jamani tunalenga kuelimishana na kuokoa watu wetu kwa njia ya haraka kama hii so tusiimbe taarab let us be serious.Itazame elimu yetu, toa mchango wako ama kosoa then give maoni yako na the way foward,tuwe wazalendo kuokoa nchi hii tusije laaniwa.SAA YA MABADILIKO NI SASA kama kweli elimu ni...
  4. S

    Walimu wasipoangaliwa wataliangamiza taifa kwa kuzalisha wajinga!!!???

    mwalimu ni daraja muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa lolote lile duniani isipokuwa Tanzania.Inaonekana juhudi za kukomboa taifa zinawezekana tu kwa kualika wageni kukalia nchi yetu, na ili kufanikisha hili,elimu kwa mzawa lazima iangamizwe na kuunda Taifa la wajinga wengi na watu tegemezi.Tatizo...
Back
Top Bottom