Search results

  1. N

    Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

    Esther na Halima wote chali, Wassira Bunda ni mbele kwa mbele, Mwizi anapigwa kimya kimya Bunda!!
  2. N

    Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

    Malofa na Wapumbavu.....upepo wa Steven Wassira ni Noma.....wataisoma namba Akina Bulaya anazunguka na ma body guard sasa Mbunge wa Watu Ulinzi wa hivyo iweje....asilimia tisini Kura kwa Wasira safari hii
  3. N

    Wassira atimka na daftari la wadhamini

    Ninyi na mahusiano ya jinsia ya moja msituletee Bunda, HUKO HUKO Kawe-Dar Es Salaam...Sasa yeye Katumwa na Mume wake agombee Ubunge, ninyi wapambe Msije mkajifunza mambo ya Lamu na Mombasa, Oct akishindwa Ubunge anarudi Dar kuwaacha na tabia ZA ajabu HAPO Bunda
  4. N

    Wassira atimka na daftari la wadhamini

    Amwachie Msimbe Jimbo,Nani Bunda atakubali?
  5. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    Kuwafukuza baada ya kupora Ushindi hakuna Tija....In short, Kwa siasa ya Bunda Ukawa haina nafasi na wote wasingemweza Wassira, ila kumtosa aliyeshinda kura ya maoni ndiyo worse sababu Yule dada CHADEMA NI mgeni
  6. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    Ndio KOSA kufikiri WAo(Viongozi) wanajua kuliko wananchi...wakampigie Bulaya sasa, No Wasira vs Bulaya...ANAZOMEWA TU hapa Bunda
  7. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    Masaburi bila Shaka Kamanda, Ila Mr. Bulaya???
  8. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    Katiba ipi wakati Chama Cha Demokrasia(CHADEMA) kimeuzwa kwa Lowassa...Hii Game imekaa vibaya, sasa wapi kwenye katiba kulikompa Mbowe kuuza Chama?Wapi Dr.Slaa mkuu?
  9. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    Kwani Wewe NI Halima Mdee?
  10. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    hakuna mpambano wa msimbe wenu bunda, yaani esther ni taka hivi sasa, kila kona bunda akipita anazomewa tu tangu jana.....el-ninyo inakuja kuwabeba na dhambi ya ubaguzi chadema....esther hawezi ongea dk 2 bila zomea zomea na usimbe hautakiwi bunda
  11. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    kamati kuu ya lowassa ni vichaa, huwezi kuacha mtu aliyejenga chama hapo bunda miaka mitatu alafu wakupe wewe esyth uliyekuja juzi toka ccm jimbo-ni kosa..shida ya yule(wewe) dada ni kudandia dandia tu, sasa ccm kakimbia chadema bunda ukweli umejulikana zile ligi za mpira, bulaya cup hakuna kitu...
  12. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    Sasa kweli Nani mwenye Njaa..Hii picha ya Bulaya Ktk ofisi ya CHADEMA Bunda ni kama picha ya Hofu na Msiba Fulani....atakuwa anajuta "hivi huku nimekuja kufanya nini kustaili aibu Hii"
  13. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    Bunda bila wasimbe inawezekana! Pius ndiyo alikuwa Chagua la Mungu, Esther Bulaya Musimbe
  14. N

    CHADEMA Bunda Mjini 2015, Kama anguko CCM Iringa Mjini 2010

    Chadema Bunda yabomoka vibaya -Robo tatu ya viongozi wa kamati tendaji wajihudhuru nyadhifa zao -Wasema chanzo ni Esther Bulaya kubebwa na viongozi wa juu wa chama hicho -Wasema wamekitumikia chama hicho na kuwekwa ndani lakini sasa hawathaminiwi Na Ahmed Makongo, Bund | Mtanzania | Agosti 20...
  15. N

    UKAWA wavurugika ndani ya majimbo matano

    Chadema Bunda yabomoka vibaya -Robo tatu ya viongozi wa kamati tendaji wajihudhuru nyadhifa zao -Wasema chanzo ni Esther Bulaya kubebwa na viongozi wa juu wa chama hicho -Wasema wamekitumikia chama hicho na kuwekwa ndani lakini sasa hawathaminiwi Na Ahmed Makongo, Bunda; Agosti 20, 2015...
  16. N

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Esther Bulaya ameshindwa hata Kabla ya Uchaguzi, Wassira atashinda Asubuhi sababu kawazidi maarifa na siasa one mistake TKO
  17. N

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Chadema Bunda yabomoka vibaya -Robo tatu ya viongozi wa kamati tendaji wajihudhuru nyadhifa zao -Wasema chanzo ni Esther Bulaya kubebwa na viongozi wa juu wa chama hicho -Wasema wamekitumikia chama hicho na kuwekwa ndani lakini sasa hawathaminiwi Agosti 21, 2015; CHAMA cha Demokrasia...
  18. N

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Wassira ameshatangazwa Mshindi wa Jimbo la Bunda, imekula kwa Ukawa! Msimbe hawezi kuongoza Mara ninyi
  19. N

    Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Wassira au Lowassa ndiyo mpango Mzima Urais wa TZ.Benard Membe biashara ilikwisha siku nyingi na Mzee Pinda escrow imevuruga upepo na pengine mvuto alioanza kupata baada ya kutangaza BBC London..Ni Murra au Laiboni 2015
  20. N

    Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Game ya Urais 2015 ni ya Wasira hivi sasa, ndiye authority the CCM na kakuna Watz wengi msimamo katika swala la Escrow. ..T 2015 SMW
Back
Top Bottom