Search results

  1. Mganga wa Jadi

    Airtel Money huduma mbovu sana, haya mmeondoa kipendele cha kuongea na muhudumu kimya kimya

    Kwa sasa customer care ya Airtel ndio huduma mbovu kabisa kuliko huduma zote hapa nchini, kila mteja anahaki ya kuongea na mhudumu, sio kila tatizo linatatuliwa na automatic voice response. Ni ngumu mno kuongea na mtoa huduma wa airtel ..... nadhani hii kampuni inaelekea kufa kabisa. Kwa wateja...
  2. Mganga wa Jadi

    Uganga wa jadi ni tiba au ushirikina?

    Hapo ndipo wazungu walipo tuweza kwenye kudharau vya kwetu na kutukuza vya kwao. Kabla ya ukoloni babu zetu walitibiwa sana kwa miti shamba na wengi walipona. Jaribu kutofautisha tiba asili ( uganga wa jadi) na upigaji ramli ( uchawi). Bado kuna makabila mengi yanatumia tiba asili mfano...
  3. Mganga wa Jadi

    Azaki Gamba,Afariki dunia

    Pole kwa ndugu na tasnia nzima ya habari na utangazaji. RIP Isaac Gamba
  4. Mganga wa Jadi

    Niokoleeni watoto wangu tafadhali wanaJF

    Pole sana...tatizo la hao watoto liko kwenye damu (systemic) ngozi ina manfest tu. Ni vizuri akapata dawa za mishipa. Nashauri wapate broad spectrum antibiotics kama ceftriaxone na antifungal kama fluconazole. Topical aplication haina effect sana kwa sababu tatizo ni generalized.
  5. Mganga wa Jadi

    Luthuli ni jina la Mtaa wa Ikulu

    Kwa nini sisi hatuwaenzi watanzania wenzetu! Kwa nini barack obama isingeitwa mkwawa? Au jina la wapigania uhuru wa kwetu. Hii ni aibu kwa anuani ya taifa ina jina la mmarekani.
  6. Mganga wa Jadi

    Ukiipenda Ichukue

    Iko poa
  7. Mganga wa Jadi

    Ajali mbaya eneo la Makongo: Watu 18 wahofiwa kupoteza maisha!

    Kwanza lazima tukubali kwamba hii barabara imejengwa chini ya kiwango kwa hali ya juu. Baada ya njia panda ya kawe u- turn ni africana sehemu kama makonde ambako kuna njia kubwa ya nssf hakuna pa kuingilia. Hapo jeshini ndo hatari zadi. Yaani hapo ajali haziishi kama mkandarasi hatarekebisha
  8. Mganga wa Jadi

    Kwa matokeo haya ya kidato cha nne Kawambwa anasubiri nini ofisini?

    Kwa mtu anayefikiria kwa utashi atashangaa kuona huyu bwana bado ni waziri katika wizara nyeti kama ya Elimu zaidi ya nusu ya watahiniwa kupata div 0 ni ishara ya failure ya wizara na serikali kwa ujumla. Binafsi nilitegemea muda mfupi baada ya kutangaza matokeo yale ajiuzulu na kumpisha mtu...
  9. Mganga wa Jadi

    Anayehitaji Computer Software aina yoyote tuwasiliane!

    Nahitaji medical softwares unazo?
  10. Mganga wa Jadi

    Ngono inasababisha saratani ya kizazi

    Hapa hamna jipya mbona haya yote yanajulikana wasijitafutie umaarufu wa bure.
  11. Mganga wa Jadi

    PVC V/S Aluminium Windows

    Habari za leo wadau? Naomba wajuzi na wataalamu wa vifaa na mambo ya ujenzi mnijuze kati ya aluminium na pvc ni ipi nzuri kwa madirisha Dar maeneo ya karibu na bahari? asanteni
  12. Mganga wa Jadi

    TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

    Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu!
  13. Mganga wa Jadi

    Hospitali ya KCMC Moshi! limebaki jina tu.

    Mimi pia nimeitembelea hospitali hii mara kadhaa huwezi linganisha na hospitali kama bugando, mambo ya kcmc hayaeleweki,pamoja na serikali kuchelewesha ruzuku, lakini wao wenyewe hawaoneshi jitihada zozote za kuboresha huduma. Ni kweli wamezidiwa na wingi wa watu na hapa inabidi serikali...
  14. Mganga wa Jadi

    Hospitali ya KCMC Moshi! limebaki jina tu.

    Hili ni jambo kubwa na sio vema kulifumbia macho. Kiukweli KCMC imekwisha kabisa, mabadiliko makubwa ya kiutendaji yanahitajika.
  15. Mganga wa Jadi

    Hospitali ya KCMC Moshi! limebaki jina tu.

    Mrimi, Watu wenye mawazo kama yako ndo wanadidimiza maendeleo ya nchi, umepewa mpaka mfano wa mgonjwa aliyeko ICU na manesi wanafanya biashara ndogondogo, kweli hapo ni mahala pake? Au hujui maana ya ICU nafikiri zile zama za kutetea uovu namambo ya kulindana zimekwisha. Tunahitaji mabadiliko...
  16. Mganga wa Jadi

    Je ukifanya tendo la ndoa na mkeo bila kinga kuna madhara yoyote kwa mtoto anayenyonya?

    Kitaalam hakuna madhara yoyote. Idealy mama anapomaliza kipindi cha uzazi, 42 days mnaweza kuanza kutumia haki yenu ya ndoa.
  17. Mganga wa Jadi

    Naomba ushauri

    Unakula vizuri? Na unapenda kula vyakula gani? Unapojisaidia baada ya hizo siku mbili choo inakuwaje? Kigumu au laini? pendelea kula mboga za majani namatunda kwa wingi.
  18. Mganga wa Jadi

    uzazi

    Saladi, binafsi nimekushauri uonane na mtaalamu wa magonjwa ya kina mama ili aweze kukufanyia uchunguzi na kujua tatizo lako. Na sio kila infertility problem inatibiwa kwa IVF, kwa kawaida hiyo huwa ni last option pale ambapo njia zote zimeshindikana. Hiyo ivf pia ina risk zake nyingi tu. Sio...
  19. Mganga wa Jadi

    uzazi

    Why IVF ? Why Aga Khan kwani watoto wanapatikana agakhan pekee? Nafikiri uende kwa wataalamu wa magonjwa ya kinda mama na utapata msaada.
Back
Top Bottom