Search results

  1. L

    Mungu akupe maisha marefu Mh JPM.

    je lowassa angefanya zaid ya haya! mie nafikiri nchi hii Mungu amempa Magufuli kwa ajili ya kilio cha watu wengi wanaoteseka, maguful ndiye Rais tunaemhitaji, ukawa acheni kususa maana haiwasaidii sanasana mtabaki nje bila kulisaidia Taifa hili. muungeni mkono achana na lowassa na Seif...
  2. L

    Haya maswali ya Jussa, hakuna mwenye uwezo wa kuyajibu!

    Sababu za kufuta uchaguzi wa Zanzibar ziko wazi tu wala huhitaji kuwa msomi sana ujue, ccm baada ya kuona inashindwa na kuiba kura haiwezekani wakamuamuru jecha afute uchaguzi. Huo ndio ukweli tu, hata ukiangalia wanavyojibu hoja kama hizi sura zao zinawasema kabisa, kwa sasa uchaguzi...
  3. L

    Siku CCM ikiachia madaraka

    No other way to remove it?????!!
  4. L

    Sitta: Nikikatwa uspika nitakimbilia mahakamani kufungua kesi

    kwani ni yeye tu anatosha kuwa spika! namkumbuka alivyo gombana na maaskofu, akapumzike nae ina maana hajatosheka tu, hii tamaa mbaya sana naomba akatwe haraka sana, ili ajue ccm ni chama kigumu hakifi...ameona yaliyomkuta ......... nanihiii...haamini mpaka sasa, huyu nae anaitisha ccm! akatwe...
  5. L

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Lowassa ni mtu muhimu ktk siasa kwa sasa, ila uwaziri mkuu hapana, apumzike awajenge wanasiasa vijana na kuimarisha upinzani angalau kiundwe chama kimoja chenye nguvu kubalance kati ya ccm na upinzani ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji kwa serikali na sii vinginevyo. Lowassa hawezi...
  6. L

    Hoja na fikra za Dr. Ulimboka bado ziko wazi, Rais ni shuhuda

    huyu ndiye Rais tuliyemhitaji miaka na mikaka....
  7. L

    Anayeijua wilaya ya KWIMBA

    Tafadhali nijuzeni nahitaji kuifahamu wilaya ya Kwimba Mkoani mwanza, pako je?:sad::sad:
  8. L

    Elimu maalum Tanzania

    analipwa milioni 10 wapi? tujuze
  9. L

    Eureka! Nimegundua Hesabu mpya, Njia rahisi ya kupata asilimia

    hakuna kitu umeundua bana, tangu lini 10/2 ikawa 2 it will remain 5 mangi.... wamisry ndo wababe tu hata mzungu hakuwahi kugundua chochote wagiriki walicopy na ku-pate kutoka MISRY..:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
  10. L

    Ajira ya ualimu elimu maalum

    Naomba mnijuze jamani, nimeangalia ajira za waalimu tangu 2012/2013 na 2013/2014 nimeona waalimu wengi wameajiriwa vyuo vya ualimu mfano Butimba, Monduli, Vikindu nk. sijaona hata mmoja aliyeajiriwa chuo cha ualimu Patandi elimu maalum, je? hiki chuo wanaajiriwa waalimu wa aina gani? ni lazima...
  11. L

    Kauli 10 za walimu darasani

    Mmoja alisema, wewe ni sinema darasani kwangu.
  12. L

    Kipi bora kuajiriwa chuo cha uwalimu au secondary ?

    asanteni sana kwa kuchangia na kujibu swali langu :clap2:
  13. L

    Kipi bora kuajiriwa chuo cha uwalimu au secondary ?

    Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu? :clap2::clap2::clap2:
  14. L

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu?
  15. L

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu?
  16. L

    Walimu tarajali watakiwa kuwa wazalendo watakapopangiwa ajira zao

    kweli, yeye mbona anaishi dar? wakati kwao ni kijijini
  17. L

    Siasa basi Mchungaji Rwakatare

    mtumikie Yesu peke yake hayo mengine waachie wanasiasa mama
  18. L

    Siasa basi Mchungaji Rwakatare

    huwezi kuwatumiia mabwana wawili!:A S wink:
  19. L

    Mishahara ya wakufunzi wa vyuo vya ualimu ni tofauti na waalimu wa secondary?

    Asante sana...je unajua namna ya ku-omba kazi vyuoni? au huwa wanapangiwa tu moja kwa moja...
  20. L

    Mishahara ya wakufunzi wa vyuo vya ualimu ni tofauti na waalimu wa secondary?

    Naomba msaada wa kujua kiwango cha mshahara wa mkufunzi wa chuo cha ualimu kwa mtu wa kiwango cha shahada jamani hasa waalimu wapya waliopangiwa kazi mwaka huu
Back
Top Bottom