Search results

  1. gipsfuture

    Ni zawadi gani akikupa mpenzi wako hutomsahau maisha..???

    Inategemea na uwezowako pia....Bt zaidi ni kujipinda utoe chata linalofanana na wewe ilikila wakati akiangalia ile chata (Mtoto) daima akukumbuke.....
  2. gipsfuture

    Kiwanja kinauzwa kipo karibu na bahari

    Kiwanja kinauzwa kipo JKT mbweni meta sq 1394, kwa mawasiliano zaidi piga simu number 0714 371441
  3. gipsfuture

    Kipi bora???

    Hlw wana JF.... Kipi bora katika Maisha yetu ya sasa? kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au kujipanga kimaisha kwanza ndio utafute mwenza........ (Toa sababu ni kwanini iwe kabla au baada)
  4. gipsfuture

    Naombeni Mbinu za Kuishi na Mtu Mwenye Roho Mbaya (ROHO YA KWANINI)

    Hlw JF Nimuda mrefu sasa nimekuwa nikiishi na rafiki mwenye roho mbaya A.K.A Roho ya kwanini...Kila ninapo pata mafanikio fulani yeye hunichunia...NIFANYEJE???????????
  5. gipsfuture

    Naombeni Mbinu za Kuishi na Mtu Mwenye Roho Mbaya (ROHO YA KWANINI)

    Hlw JF Naombeni mchango wenu utakao nisaidia kuishi na mtu mwenye roho mbaya....(Asie penda maendeleo ya mwenzie)
  6. gipsfuture

    naomba mbinu za kuishi bila boyfriend

    Mmmhh.............kiukweli sidhani kama kuna mbinu iliyo sahihi kuishi bila huyo........ chamsingi hapa ni wewe kutafuta kwanini inakuwa hivyo??? Pingingine wewe ndio source...Poleeeeeeeeeeeeeeeee......
Back
Top Bottom