Search results

  1. T

    Kama kawaida yao mawaziri wa Kikwete watofautiana hadharani, Mengi Arusha Kombora

    Wana jamvi, mtakumbuka kwamba jana Jukwaa la Sekta Binafsi Tanzania lilifanya Mkutano wake Mkuu ambapo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Mary Nagu alikuwa Mgeni Rasmi. Katika hotuba yake, aliungana na wadau wa Sekta Binafsi kulaani wale wote wanaosema kuwa...
  2. T

    Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

    Makamanda wakitokea Etaro kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kupeleka maandamano yao bila kikomo sasa wapo maeneo ya Bukanga kwenye Mtambo wa Maji .
  3. T

    Gari la Mbowe lashikiliwa Mombasa, Kenya baada ya kukutwa na namba za gari mbili tofauti!

    Hivi waandishi wa habari msipoandika habari za uzushi hamfurahi? Kwa wale matomaso, nendeni ofisi za Bunge Dar, mtalikuta gari la Kioungozi wa Upinzani Bungeni (KUB) likiwa limepaki nje na halijashikiliwa na polisi wa KENYA kama ambavyo magazeti yameripoti. Kilichotokea ni kwamba askari wa Kenya...
  4. T

    Tunahitaji mbadala wa CHADEMA utakao itoa CCM Ikulu

    Pambaf senu!!! Misukule wakuba nyie
  5. T

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

    BAADA YA MCHUANO MKALI BAINA YA WABUNGE WANAWAKE KUTOKA ZANZIBAR, HATIMAYE, MHESHIMIWA AMINA ABDALLAH AMOUR AMEFANIKIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA UMAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM. WAJUMBE WOTE WA BUNGE MAALUM MPENI KURA ZENU. (PICHA IMEAMBATANISHWA) CV YAKE HIYO HAPO CHINI MCHAGUE AMINA...
  6. T

    CHADEMA hakikupaswa kuwa chama cha siasa

    Kaka una akili.... Yani kuzunguka kote ni kusudi watu wajue kwamba una BlackBerry 9900??? Haya tumeshajua!!! Si basi?? au kuna jengine???
  7. T

    Hotuba ya kambi rasmi ya upinzani juu ya mpango wa maendeleo wa taifa 2014/15

    Mhe. David Silinde, Mbunge wa Mbozi Magharibi - CHADEMA ndio anasoma hotuba hiyo sasa hivi. Fuatilieni.
  8. T

    Kinana na Nape waonja joto ya jiwe Bunda

    Mbona majanga? Sasa watalala wapi Kama hali ndivyo ilivyo? Au watasepa leoleo?
  9. T

    Kinana na Nape waonja joto ya jiwe Bunda

    Katibu wa itikadi nna uenezi wa propaganda za CCM Taifa Nape Nnauye, amemwagiwa mvua ya zomeazomea alipojaribu kuwakashifu viongozi wa CHADEMA kuwa ni vigeugeu katika mkutano wa hadhara huko Bunda,Musoma. Nape amezomewa mfululizo jambo ambalo limemfanya ashindwe kuendelea na mkutano hadi Katibu...
  10. T

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Leo kulikuwa na tafrani bungeni baada ya naibu spika wa bunge kuita askari kuingia ndani ya ukumbi wa bunge kumtoa kiongozi wa upinzani kwa nguvu jambo lilozua fujo na kusababisha mbunge wa CUF Moza Abeid kuvuliwa hijab yake kinyume kabisa na miongozo ya dini ya kiislam. Je huu ni uungwana?
  11. T

    Baraza la mawaziri latuhumiwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya

    Inabidi kuwa makini sana na hii issue ya madawa ya kulevya. Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa kuna viongozi wa kubwa serikalini wanaofanya biashara hii moja kwa moja. Nasema hivi kwa sababu tangu waziri Kivuli wa Mambo ya ndani ya nchi Mhe. Vincent Nyerere atoe tamko kuhusu biashara haramu ya...
  12. T

    Baraza la mawaziri latuhumiwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya

    Kambi Rasmi ya Ulpinzani Bungeni imeikemea vikali Serikali ya JK kukomesha haraka biashara ya dawa za kulevya ambayo imekithiri hapa nchini la sivyo ikubali kubeba lawama kuwa inahusika na biashara hivyo. Hayo yamesemwa na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Vincent Nyerere wakati...
  13. T

    Mh.Mbowe popote ulipo nasema Asante

    Huko Iringa kuna operesheni gani? Au walikuwa wanapita tu? Nijuze kamanda
  14. T

    Mh.Mbowe popote ulipo nasema Asante

    Hongera Kamanda. Kwa jinsi ulivyofunguka na kufurahi, hakika furaha yako haitaishia hapo. Umefungua ukurasa mpya katika maisha yako ya kisiasa. Sasa chukua hatua. Fanyia kazi tukio la leo. Nakuhakikishia mwaka kesho majira kama haya utakuwa kiongozi katika jamii yako ili uwape furaha kama wewe...
  15. T

    Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) ashikiliwa na Polisi Dodoma!

    Wana JF ule mkakati wa Ma CCM na Serikali yao kuwatungia kesi za uongo na kuwasweka ndani wabunge wa CHADEMA ili wasiende kufanya kazi za kukijenga chama majimboni mwao umeanza rasmi kwa kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa kisingizio eti alimtukana Waziri Mkuu kwenye...
  16. T

    Bunge lapwaya: Ni baada ya kukosa changamoto za CHADEMA

    hapa umejamba !!1. Kk,,,mnnnnn11! Kkkw
  17. T

    Bunge lapwaya: Ni baada ya kukosa changamoto za CHADEMA

    Kuanzia juzi, bunge limepigwa na ubaridi na maeneo ya bunge yamekuwa kimya baada ya wabunge wote wa CHADEMA kutokuwepo maeneo ya bunge. Wabunge wote wa CHADEMA wapo Arusha kuomboleza pamoja na wananchi kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea tarehe 15 Juni, 2013 katika kampeni za CHADEMA. Hata hivyo...
  18. T

    WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

    Ni simanzi na taharuki kubwa zimetanda katika Jiji la Arusha baada ya Serikali kukataza kusanyiko lolote jambo ambalo limesababisha mazishi ya waliouwawa kwa bomu katika kampeni za udiwani za CHADEMA yasiweze kufanyika maanaa Polisi wanatawanya watu kwa mabomu ya machozi na vipigo. Ili kupinga...
  19. T

    Hotuba ya upinzani - wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA SUSAN JEROME LYIMO (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2013/2014Mheshimiwa Spika, napenda kuchukua nafasi hii kwa mujibu wa Kanuni ya 99...
Back
Top Bottom