Search results

  1. A

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Ningependa kufahamu kuhusu mazingira yanayohitajika kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa nyama(machotara). Nimeuliza hivyo ili isije ikatokea kuna mazingira mengine huwa siyo mazuri kuendana na hali ya hewa, udongo wa mahali nk. Pia kuhusu ufugaji wa kuku wa nyama ingependa kufahamu gharama(matji...
  2. A

    Msaada wa kiushauri tafadhali naomba kwa aliye tayari

    Mimi ni kijana nina hamu sana ya kufanya kilimo maeneo ya Bungu - Rufiji lakini kwa kujikongoja. Nina ekari zaidi ya 10 ambazo ninaweza kuanzisha kilimo fulani kizuri. Nakuwa na wakati mgumu sana wa kuamua ni kilimo gani kinaweza kufanyika sababu ya mazingira ya shamba. Shamba lipo eneo ambalo...
  3. A

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    jamadari usitake kuchekesha watu. Utakuwaje offline halafu uwe unaona tukibishana? Wapo wengi sana ambao walishatembelea katika huu mtandao na wameeleza matatizo yao kinagaubaga iweje washindwe kuelezea matokeo baada ya kutumia? Siyo kwamba napingana bali nataka kuangalia ukweli uko wapi wa hayo...
  4. A

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Umeweza kuona shuhuda za watu wangapi katika hii thread na ikizingatiwa imeanzishwa lini na watu waliokwishatumia dawa ni wangapi. Mzizimkavu mwenyewe anashindwa kujitetea hapo. Hana reference yoyote aliyoitoa yenye ushahidi unaohamasisha mtu kuwa kuna watu waliokwishatumia wakapona. Watu...
  5. A

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Tunataka hizo shuhuda hapa. Ni kwa nini msisitizo wa kujaribu? Mwili huwa hautakiwi kujaribiwa ati! Wote waliotumia mbona hawarudi hapa kwa ajili ya kuzisifia? Pia hao unaosema weupe kwa weusi wanazinunua mbona hawatoi hata mmoja ushuhuda? Tatizo lipo hapo tu. Binadamu wanapenda kufahamu...
  6. A

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Hivi kati ya wote wakosekane wenye kutoa ushuhuda wa kupona matatizo waliyokuwa nayo? Mtu atakuwa anaogopa nini wakati hakuna atakayeweza kumfahamu hapa kwenye huu mtandao wa kijamii? Hakuna shukrani kubwa itakayoweza kuzuilika kutoa hasa kwa mtu mwenye tatizo kama hili. Inatakiwa wamwagike...
  7. A

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Tangazo naliona siku nyingi sana na wahusika wengi sana wamepitia. Nauliza kama wapo ambao walishapona matatizo yao kwa kutumia aina hii ya suppliments. Tumechoka na matangazo mengi ya kuhusu dawa na baada ya watu kutumia unasikia wakisema hakuna kitu, hazijafanya mabadiliko kama inavyodaiwa...
  8. A

    Swali

    Napenda kufahamu ni Hospitali zipi nzuri kwa ajili ya blood test kwa ajili ya kufahamu kuhusu HIV nk. Maeneo ya kuanzia Mwenge DSM Anayefahamu tafadhali
  9. A

    Nafasi sawa kwa wote

    Hello Mwanajamii! Natangaza kuwa kila aliye na uwezo wa kuchangamkia fursa za maendeleo afanye hivyo sasa sababu ipo fursa ya kipekee inayotoa msaada kwa wale wanapenda maendeleo. Fursa hii ni kwa ajili ya wale wanaoshindwa kuwa na biashara kubwa kutokana na kukosa mitaji na wengine kukosa...
  10. A

    Changamka ufanye uamuzi sahihi katika hizi nafasi

    Sisi ni vijana ambao tumejitolea kuwasaidia Watanzania. Tunahitaji kuona maisha ya watu yanabadilika na tuachane na hali ya kulalamika.
  11. A

    Changamka ufanye uamuzi sahihi katika hizi nafasi

    Wahanga wa nini christine?
  12. A

    Changamka ufanye uamuzi sahihi katika hizi nafasi

    Wengi wamekuwa ma wazo la biashara na wanafikiri biashara ni Forever Living na GNLD tu. Mimi nazungumzia biashara tofauti na hizo. wale tuliokwishaonana na wamenufaika sana. Mwenye mawazo ya GNLD na akashindwa kuchukua hatua basi hatuwezi kumfuata nyumbani na kumshika mkono. Wengi hukosa fursa...
  13. A

    Changamka ufanye uamuzi sahihi katika hizi nafasi

    Hello ndugu mwanajamii! Napenda kukujulisha kuwa unaweza kufanikiwa kimaisha kwa namna nyingi. Maisha kawaida ni kama mchezo wa kamari na ndiyo maana wengi husema maisha hayana formula. Kwa asilimia kubwa watu wanazoea maisha ya mtiririko fulani tu na hiyo hutokana na maisha aliyoyakuta katika...
  14. A

    Nyumba inauzwa!!!

    Muonekano: Ni nyumba ya ghorofa 5 yenye vyumba 42 Ina vifaa vyote muhimu vinavyohitajika. Sehemu: Manzese Bei: Billion 3 maelewano pia yapo Unaweza kufanya mawasiliano kwa namba 0754479625 Shukrani.
  15. A

    Shamba linauzwa

    Shamba kubwa linauzwa lenye sifa zifuatazo: Ukubwa: Ekari 4 Eneo: Mapinga - Udindivu Maji yanapatikana karibu Kuna nyumba iliyojengwa katika shamba hilo Bei: Millioni 65 na maelewano pia yapo Mawasiliano: 0754479625
  16. A

    Shamba linauzwa

    Shamba kubwa linauzwa lenye sifa zifuatazo: Ukubwa: Ekari 4 Eneo: Mapinga - Udindivu Maji yanapatikana karibu Kuna nyumba iliyojengwa katika shamba hilo Bei: Millioni 65 na maelewano pia yapo Mawasiliano: 0754479625
  17. A

    Nyumba inauzwa!!!

    Nyumba nzuri sana inauzwa na ina sifa zifuatazo: Muonekano: Ni nyumba ya ghorofa 5 yenye vyumba 42 Ina vifaa vyote muhimu vinavyohitajika. Sehemu: Manzese Bei: Billion 3 maelewano pia yapo Unaweza kufanya mawasiliano kwa namba 0754479625 Shukrani.
  18. A

    Nyumba inauzwa!!!

    Nyumba nzuri sana inauzwa na ina sifa zifuatazo: Muonekano: Ni nyumba ya ghorofa 5 yenye vyumba 42 Ina vifaa vyote muhimu vinavyohitajika. Sehemu: Manzese Bei: Billion 3 maelewano pia yapo Unaweza kufanya mawasiliano kwa namba 0754479625 Shukrani.
  19. A

    Kazii!... Kaziii!....

    Tutawasiliana na kuweza kupanga hatua muhimu kufuata
  20. A

    Kazii!... Kaziii!....

    Hello mwanajamii! Bila shaka uu mzima wa afya na una nguvu nzuri ya kufanya kazi na kupata kipato. Je, wewe uko tu nyumbani umelala na huna unalofanya? Je, wewe uko unatafuta ajira? Je, wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote(sales)? Je, wewe hujawahi kufanya biashara yoyote lakini unahisi...
Back
Top Bottom