Search results

  1. thesym

    Wataalam wa kudownload mitandaoni naombeni mnisaidie pdf za vitabu hivi

    Nenda libgen.is vitabu vyote hivyo vipo, Ila vipo kwenye format ya e-pub ambayo unaweza kuconvert kuwa pdf Linki https://libgen.is/search.php?req=Jesse+Lee+Peterson&lg_topic=libgen&open=0&view=simple&res=25&phrase=1&column=def
  2. thesym

    Kumiliki laptop Bora kwa Sasa!

    Nadhani hapa unamaanisha Intel Core 2 Duo ambazo Intel hawazisapoti tena Kwa updates Kuliko kuwa na Intel core 2 ni nafuu kuwa na pc yenye intel i3 zinazoishia na herufi U mfano intel i3 8130u ambazo zina ulaji mdogo WA umeme na pafomansi nzuri kuliko core 2 huku ukiwa na uhakika WA updates...
  3. thesym

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Situmii njia nyingine yoyote zaidi ya seo, japo ni risk kutegemea channel moja ya traffic hasa kipindi hiki Google wamekuwa wakifanya updates za algorithms mara Kwa mara
  4. thesym

    Kumiliki laptop Bora kwa Sasa!

    Kwangu mi huwa nataka laptop yenye pafomansi kubwa Kwa ajili ya KAZI na pia ukaaji WA chaji. Kwa kama nikitaka kununua laptop Kwa sasa nitaangalia CPU, Intel angalau 12700h au Ryzen 7 6800h Kwa upande WA AMD, Kwa Apple angalau Apple M1 Laptop iwe inasapoti angalau RAM ya DDR4 na ukubwa WA ram...
  5. thesym

    Precision ya "Tuma kwenye namba hii" na Apps za Mikopo.

    Meseji za Aina hii zinawafikia hata wamiliki WA viswaswadu na ambao hawajawahi kupakuwa app za mikopo. Wanachokifanya hao jamaa wanaweka namba nyingi randomly bila kumjua wanayetumia wanachofanya ni ku-guess, kama ni precision ya kujua MTU aliyetaka kutumia hela naamini ni ndogo Kwa 5% Ila kama...
  6. thesym

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Ushauri mwingi uliopewa humu hauna uhalisia na umetoka kwa members wengi ambao hawamiliki blog ama website. Kwanza tambua msingi wa watembeleaji kwenye blog kwa sasa ni Search engine(Google search), kwa maana unapaswa ujue keywords watu wanazoandika kwenye google pindi wakiwa wanasachi kwenye...
  7. thesym

    Nahitaji course ya Mashine learning au IA

    Kwa mujibu wa Prof Andrew Ng, walau Advance Mathematics inatosha labda kama una plan ya kuwa Researcher kudesign ml algorithms mpya, na kwa kuhamasika zaidi ziangalie projects za ML za wanafunzi wa stanford https://cs229.stanford.edu/proj2019aut/ https://cs229.stanford.edu/proj2020spr/...
  8. thesym

    Nahitaji course ya Mashine learning au IA

    Nenda YouTube akaunti ya Stanford university utafute course ya Andrew Ng mwanzilishi wa Google brain na alikuwa Team leader wa Baidu AI Research, kila lecture ina zaidi ya lisaa, Kwa practical tafuta kitabu kinaitwa dive into deep learning ni bure, Kama hauna laptop yenye GPU, tumia Google...
  9. thesym

    Simu "copy" ina maana gani?

    Hizi huwa ni simu feki za android zinatumia mt6580. Mwambie adonwload CPU X ataona baadhi ya specs ambazo haziendeni na iPhone. Hata hiyo memori na Ram ni ya uongo pia
  10. thesym

    Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

    Xiaomi simu zao hata za bei ndogo huwa na hardware nzuri Ila UI Yao MIUI ni moja ya skin za ovyo
  11. thesym

    Simu "copy" ina maana gani?

    Maana yake ni feki
  12. thesym

    Computer4Sale Niulize laptop gani unataka na kwa ajili ya matumizi yapi nikupe bei na ushauri

    Una laptop yenye CPU ya i7 12700h au amd Ryzen 7 6800h na ram ya 16gb, kama IPO bei ikoje
  13. thesym

    Msaada nitengeneze app ya aina li niweze kupata hela?

    Kutengeneza pesa ndani ya muda mfupi kwenye app sio rahisi. Ila inawezekana ukiunda app za kitapeli kama kalynda zinzohusiana na Ponzi scheme. Usisahau bajeti ya marketing kupata watumiaji.
  14. thesym

    Kuchelewa kupatikana kwa huduma ya internet ( fiber) TTCL

    Watu sasa hivi wameamua kutumia unlimited ya Airtel 5g(70,000 Kwa 10mbps) ttcl ni kampuni ya hovyo.
  15. thesym

    Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

    Mada ya udikteta na maendeleo inajuridia mara Kwa mara, labda hii inatokana na mageuzi makubwa ya baadhi ya authoritarians leaders kufanya mageuzi na mabadiliko makubwa, mfano 1. Stallin kuigeuza soviet kuwa industrialised ndani ya muda mfupi 2. Lee Kuan Yew WA Singapore 3. Park Chung Hee WA...
  16. thesym

    msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

    Kama watembeleaji wako wanatoka Google search basi ni kwamba kuna algorithm update Google wameifanya. Mwezi WA kumi na WA kumi na moja, blog nyingi zimeathirika na nyingine kufa, hata Mimi na-experience kupungua Kwa watembeleaji karibu Kwa 20%. Monopoly ya Google imezidi Kwa sasa. Kiushauri pia...
  17. thesym

    Kampuni ya Microsoft yamuajili Sam Altman Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia

    OpenAI wametangaza kumrudisha baada ya wafanyakazi kusaini petition kuwa watahamia Microsoft kama jamaa hatorudishwa na baadhi ya board members kujiuzuru https://www.cnbc.com/amp/2023/11/22/openai-brings-sam-altman-back-as-ceo-days-after-ouster.html
  18. thesym

    Mitandao yetu ya Bongo ina limit ya kutuma SMS kwa siku?

    Halotel wanayo ukituma nyingi wanablock line inakuwa haiwezi tuma sms
Back
Top Bottom