Search results

  1. F

    Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Wapeleke Mahakamani kama hakuna kipengele hicho
  2. F

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Tatizo linapo kuja kuwa Kàna kwamba JK ndiyo kamuua EDO ,Wakati jamaa kafariki kama ilivyo Kwa watu Wengine. Nchi hii waliotaka kuwa Marais ni wengi, Sasa iweje Edo TU kufariki JK anaandamwa kana kwamba yeye kaua? Huwezi kusema JK alimsaliti mwenzie, Mazingira ndiyo yaliamua.Watanzani Hawa...
  3. F

    Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

    Unajua sijaelewa, usafiri wa aina Mbali Mbali anaotumia Makonda kama Punda,Farasi,Trekta na Leo Grader anatakakutoa taswira Gani katika hizo ziara? Utamaduni wa Mahala husika? Uzalendo? Yaani sipati picha kabisa
  4. F

    Nani anampa kiburi Netanyau? Hamas hatutaki vita iendelee tumeamua yaishe. Analeta Kibri?

    Tulia na uandike Kwa utulivu kidogo basi,hata hueleweki yaani
  5. F

    Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Tabia hii Halotel pia wanayo, Mara 4 Sasa naweka Salio la 1000, nikitaka kujiunga kifurushi naambiwa Salio halitoshi,ukiangalia,600 wamechukua , kwakweli utapeli huu sijui utakoma lini
  6. F

    Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    Hoja za Kipumbavu TU,mtu amemtoa malalamiko kinachotakiwa ni kuthibitisha malalamiko siyo kubeza malalamiko
  7. F

    Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

    Upumbavu wa hivi sijui unatokea wapi,unaambiwa alipelekwa polisi Sasa wewe sijui unatetea nini
  8. F

    Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

    Sasa mbona Makonda mwenyewe yupo si umwamvie ana kwa ana au mpigie simu? Sasa huku JF itakusaidia nini?
  9. F

    Walimu kupinga kauli za Udhalilishaji na ubaguzi kutoka kwa CHADEMA dhidi yao

    1: 1:Kwanza wewe siyo Mwalimu 2:Walimu 1:Kwanza wewe siyo mwalimu 2:Walimu hawababaiki na vitu vidogo hivyo,wamevumilia Mengi 3:Unajifanya una mzuka na walimu kumbe unajipendekeza upate teuzi
  10. F

    Waziri Nape: Membe hakuwa na shida ya hela za ile kesi ila alitaka kukomesha tabia ile ya kipuuzi isirudiwe kwa mtu mwingine!

    Sasa deni hilo kwa sasa alivyokufa ndiyo mbaya zaidi kwa sababu mdai wake kafa,familia itafungua mirathi kwa hiyo lazima alipe hiyo
  11. F

    Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

    Rais ndiyo alisema hivyo kweli? Sifa za kijinga
  12. F

    Tukubali tukatae hali ya maisha ni ngumu sana watu wanaishi kwa matumaini hawaijui kesho yao.

    Magufuli ametuachia matatizo makubwa. Katuletea watu waongo waongoooo.Hivi Tanzania nzima hatukuelewa maana ya asilimia 23? Hongera Pm endeleeni kula mema ya nchi hii
  13. F

    Hatimaye ufafanuzi wa kina umetolewa juu ya nyongeza ya mishahara

    Upumbavu mtupu, aibu kubwa.Unawezaje kuahidi usichoweza kutekeleza? Hakuna hoja hapo endeleeni tu na sisi tutaendelea, Kuna siku mungu atasimama upande wetu
  14. F

    TUCTA yapendekeza wenye mishahara mikubwa waongezwe 15% na wale wa Kima Cha Chini waongezwe 23.3%. Yawasilisha Mapendekezo kwa maandishi

    Wewe Daktari akiacha kazi utakwenda kuwa wewe? Engineer akiacha kazi utakwenda kureplace wewe? Watu kama nyie ni hasara Kwa taifa
  15. F

    TUCTA yapendekeza wenye mishahara mikubwa waongezwe 15% na wale wa Kima Cha Chini waongezwe 23.3%. Yawasilisha Mapendekezo kwa maandishi

    Mbona Hilo swali huulizi Kwa wabunge kulipwa zaidi milioni kumi na mafao zaidi ya milioni 200 ndani ya miaka 5 tu wakati Mtumishi zaidi miaka 30 hapati hata milioni 200, na hajari hiyo COVID, mdororo wa uchumi huo unaosema?
Back
Top Bottom