Search results

  1. M

    Je ni kweli kua bomba la gesi linajengwa kuelekea Nchi za Ulaya na America?

    Uwezekano huo upo,CHADEMA wanapredict kwani nani hajui mchanga wa madini yetu unapelekwa ulaya 'kusafishwa?' isiwezekane kupeleka gesi ikisimamiwa na wenye UROHO na UMIMI wa familia zao kuliko taifa zima? Angalia tu Mikopo ya Elimu ya juu wanaopewa asilimia kubwa ni watoto wao...kuja kwenye vyeo...
  2. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl. sekondar MBULU nibadilishane na yeyote wa IRINGA/NJOMBE
  3. M

    Chumba near ST.JOHN'S university please!!!!

    Kama kuna mdau anaeish au kusoma St.Johns,nahitaji chumba hata ikiwa mbali kidogo na chuo....naanza safari kesho nikitarajia kufika keshokutwa j2......plz nicheki kwa 0787309945!!!!
  4. M

    Suala la ''batch''

    Wadau kwa loan iliyotowela hata vyuoni wameandika batch namba 1,je kuna hizo batch nyingine zitakuja? Ambao majina yetu hayajaonekana tuwe na moyo na hilo la batch nyingine?
  5. M

    St johns university watoa loan allocation kutoka helsb

    location ni Batch 1,vp inawezekana kuna batch 2?
  6. M

    msaada jamii nna keybord ya laptop yangu haziendani.

    Jaribu kushika Alt na Ctrl then namba 2....:yawn:
  7. M

    TCU Kwa kutokuwa CURRENT!!!

    Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18?
  8. M

    Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

    Anzia na shulee mlizosoma....sio mnaanza kusifia vyuo wakati mmesoma St.Kayumba na passmark za kuungaunga!!!!:baby:
  9. M

    St.John's ni vipi hapo?

    Tatizo hawa vijana ndo waliopitapita UDSM na SUA ktk familia zao,kwani wangetoka ktk familia zilizosoma na kuelimika wasingekuwa na dhana potofu km hz...yaani unakuta baba alisoma UD kipindi hicho na watoto wake anasomesha vyuo vingine ambavyo nyi washamba mnavidiss.....kwanza hata tukiangalia...
  10. M

    St.John's ni vipi hapo?

    Watu wengine ni wachache wa akili....kujiona wapo vyuo vya maana sana wakati ni mapoyoyo tu....basi hata km we umesoma chuo cha TARAFA ndo unaona umesoma sana? Sifa ya msomi sio kuwa na gamba la UD,bali ni yule anayejiuliza ELIMU YAKE INAWASAIDIA NINI WANAJAMIII na sio kupaka tu ooooh vyuo vya...
  11. M

    St.John's ni vipi hapo?

    Yaani baada ya kutoa majina ya selected applicants,na news nyingine Website yao haifungui hizo news....kunani?
  12. M

    First year 2012/2013 prayer to heslb

    Kweli utratraaaaaaaaaa......roho juuu!!!
  13. M

    Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

    Pamoja hoja zako zilizo nje ya upeo wako!!! Kiukweli watanzania wengi wanakumbwa na mikasa zaidi ya huyo Ulimboka....lakini hakuna connection ya kupigwa kwao na serikali!!! Ulimboka kapigwa vibaya katika kipindi ambacho kuna mgomo wa madaktari!!!! Achana na huo tu mgomo,yeye ni kiongozi mkubwa...
  14. M

    WALE WA MWENGE UNIVERSITY(MOSHI)st. agustine panga mstari hapa

    kweli kabisa blanket muhimu sana na baridi pale ndio usiseme kama vp acha niwahi si unajua tar.15-09-2012 sio mbali :flypig:
  15. M

    kwa wanaomba omba second round Tcu na walikua wamechaguliwa vyuo ambavyo hawakuomba

    Dizaini km amechaguliwa degree program na chuo nje ya zile selection.....inabidi kwanza alog in,aingie my plofile ataona draft mbili 1 ikimtaka acomfirm chuo na degree coz au aikatae na aingie ktk 2nd round!!!!
  16. M

    IFM sio Chuo???

    Angalia wafanyakazi wenye ufanisi zaidi wawapo kazini wamesoma chuo gani utaambiwa ifm. Mnyonge mnyongeni tu Ni kweli kabisa,lkn waliochaguliwa hapo wengi hawakuomba....
  17. M

    Mliotutangulia vyuoni naombeni msaada wenu!!!

    Nashkuru kwa kurekebishwa lkn still swali halijajibiwa kabisa,degree program ya kwanza nimeambiwa nimekosea...lkn sijakosea ni hiyohiyo BACHELOR OF ART IN EDUCATION na ndo nimechaguliwa St.Johns.....so kusema nimekosea sio sawa ila wewe ndo huijui....
  18. M

    Mliotutangulia vyuoni naombeni msaada wenu!!!

    Kuna fucult zifuatazo zinanipa kiwewe kuzielewa.... 1.Bachelor of Arts in Education 2.Bachelor of Education in Arts ipi inayobeba somo 1 la kufundishia?
Back
Top Bottom