Search results

  1. N

    House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

    Kwanza nikupe pole sana,siyo sawa kabisa housegirl kufua Boxes zako huyo mkeo ni mpuuzi sana na hana adabu kabisa. Mimi naomba niwashauri hawa mabinti wa siku hizi ni vyema mkawa mnaomba ushauri kabla hamjaamua kuingia kwenye maisha ya ndoa maana mnafanya mambo ya ajabu tena ya kuwadhalilisha...
  2. N

    Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    Unachokifanya ni sahihihi kabisa hawa vijana hawana adabu wanatuharibia sana wadada wa nyumbani, mwache aende tuu huko jela hata kama ata......huko na wengine watajifunza.Hawa wanaosema watamfukuza wapotezee tuu kwaninin wasimfukuze siku zote,:angry::angry::angry:
  3. N

    Boyfriend ana majibu ya dharau

    Achana naye kabisa huyo hakuvai hata kidogo.muombe Mungu atakupatia wako anayekuvaa kwa muda na wakati utakapofika.:angry::angry::angry:
  4. N

    Ukweli kuhusu urais CCM huu hapa

    Yaani hiyo habarin ya kusema ni zamu ya mzanzibzri umeitoa kwenye katiba ipi ? watu lakini 5 unawashindanisha na watu million 45 ? Any way tuombe Mungu tupate Raisi kwa amani
  5. N

    Mrejesho: Nimuoe nani kati ya shemeji yangu na mchepuko?

    umefanya uamuuzi wa busara sana, big up ! sasa wewe huyu binti mridhishe tuu funga arusi kanisani na sherehe kidogo on condition isizidi watu 150 wa pande zote mbili. :shock::shock:
  6. N

    Huyu Engineer wa Wilaya ya Kinondoni bure

    Unashangaa nini sasa BekaNurdin? Ndiyo hivyo, kuna barabara moja nayo iko wilaya ya Kinondoni pia yaani ni majangaa tu, kila mwaka barabara ya mpigi magoye
  7. N

    Tunaunda na kurekebisha incubator .

    Dar mko sehemu gani ? nataka nije physical kuna maelezo ya ziada ninahitaji.
  8. N

    Kati ya mdogo wa marehemu mke wangu na mchepuko wangu nimuoe nani?

    Muoe mdogo wa mke wako, watoto pamoja nawewe mtaishi kwa amani, hata marehemu mkeo huko aliko atafurahia hilo jambo. Mm nina uzoefu kuna mzee mmoja alifiwa na mkewe na wazee walimshauri amuoe mdogo wa mkewe lakini alikataa na kuoa mchepuko wake. Kwa sasa anajuta sana na hakuna rangi...
  9. N

    Picha: Mtoto amwagiwa maji ya moto na mama wa kambo

    Yaani !!! hata sijui nisemeje yuko kituo gani mzee mimi nina tindikali 1/2 nataka nikamwagie mshenzi huyu.
  10. N

    Nimeona aibu sana nilipomsikia Wassira

    Hivi kwenye historia yake alitaja ni saabu gani ilimfanya akahama CCM na kwenda NCCR kipindi kile ?:msela::msela::msela::msela::msela:
  11. N

    Nahamia Mbezi ya Kimara, ofisi Masaki, ushauri wa njia za kupita asubuhi/jioni

    jitahidi kumi na moja na nusu uwe babarani ,unacheck na upepo wa foleni siku hiyo.ukiona vipi pita Goba-ingia Njia panda goba-makongo-mwenge...
  12. N

    Miaka 20 ya ndoa ana watoto nje ya ndoa bila kujulikana

    umetumwa ? ya ngoso mwachie ngoso.Halafu ukishamwambia ?:msela:
  13. N

    Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    We Nyau bado unaendelea kuuliza maswali ? Natamani hata ungebebwa na mafuriko ya mto Msimbazi , Fyuuu !:mad2: kirusi mkubwa.
  14. N

    Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    Katika Wapuuzi wewe ni namba moja,mshenzi kabisa ,wewe ulimdaganya hujaoa mpaka mchumba akarudisha kishika uchumba.hukukoma ,baada ya kupata mimba ukamwambia atoe sasa unaulizia mtoto !!!!!!!!!! yupi ? mpumbavu sana wewe mwanaume.ulifikiria unakojoa chooni Fyuuuuuuuu. nina hasira na wanaume kama...
  15. N

    Supermarket inayomilikiwa na Wachina Dar yabagua Watanzania weusi

    Eeee Bwana we,wamekuwa waoga sana na discount ni kweli Source MM mwenyewe nimeenda. :A S-baby::A S-baby:
  16. N

    Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

    Jamani mbona huyu simueliwi anataka kumanisha nini haswa ! msaada tafadhali.
  17. N

    Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

    Usije mpeleka kabisa,sasa mkuu samahani , mkeo ulimkuta Bikira ? kama siyo basi atulie tuu.
  18. N

    February 2015 mwezi wa ajabu [ambao hutokea kila baada ya miaka 826]

    Unavyosema inatokea mara 1 baada ya miaka 826 ni UWONGO ,ebu tafuta kalenda ya mwaka 2009 na uangalie mwezi february alafu urudi haraka usaihishe tread yako
  19. N

    Shamba linauzwa Mpiji kidimu bei 9,000,000 hekari mbili

    weka namba ya simu fasta !
Back
Top Bottom